miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu..hilo gari sio lake..yeye ni kivuli tu cha alionalo,atakua kuna mtu aliweka fungu lake kubwa ili amfanikishie anunue hilo gari ndo maana anaona jau ukiwa unataka kuliendesha usijepishana na mwenye nalo..yeye kukaa nyuma anahifia mkionwa pamoja..maana ukionwa wewe pekeako anaweza sema wewe ni mfanyakazi wao alikutuma..
Kama si hivyo nnavyofikiria tofauti na hapo huyo mwanamke ana roho ya uchoyo sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri.
Mke wangu pia ni mchakarikaji na anaitumikia biashara ya vyombo vya ndani na mapambo ya ndani ambayo kwa pamoja tuliifungua na inafanya vzr sana.
Tumejaaliwa kuwa na gari moja Suzuki modeli mpya ambayo kiukweli aliinunua yeye mwaka Jana January. Kwasasa mimi ni fundi wa mashine za aina mbalimbali ikiwemo majenereta, magreda, kreni n.k. Na kwa kuwa mishe zangu za kiufundi hazihusishi sana matumizi ya gari ya kutembelea kwahyo huwa naitumia mara chache sana.
Baada ya kumfundisha mkewangu kuendesha akawa nayo kuanzia hapo. Mie Nina pikipiki ambayo hunipeleka huku na kule na kunifanikishia mishughukiko yangu yote bila tashwishi . Ninapohitaji gari kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale au ninapoonyesha dalili ya kwamba nitatumia gari siku hiyo, papo hapo mke wangu huanza kujiskia karaha na ataanza kuongea maneno ambayo yanatoa ishara kwamba hataki ntumie gari.
Ukweli sipendezwi na hali hiyo maana inaudhi sana. Kwakuwa nimeshamjulia huwa nampuuza afu nachukua gari naenda kwenye kusudi nililolenga lkn furaha yake hutoweka kwa siku hiyo na hukereka kiukweli. Ingawa mie ndo niliyemfundisha kuendesha lkn pia haniamini napoendesha gari na hapendi nimuendeshe na kila wakati anasikika akinikosoa ninapoendesha, yani huwa dereva namba moja wakati aliyeshika usukani ni mimi.
Na kwa vile ameshajua pia nampuuza katika hilo, mara nyingi mke wangu huamua kukaa siti ya nyuma kwa vile haamini udereva wangu na huona kama nitamsababishia ajali akikaa mbele.
Kwa ufupi hapendezwi ninvyoendesha gari na hili jambo linanikera sana.
NAOMBENI USHAURI WENU WA KUNIJENGA KTK HILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ndio sisi mkuu hahaha
Hahahahaaa @gidumunaweza uwa mtu kwa presha wewePole mkuu..hilo gari sio lake..yeye ni kivuli tu cha alionalo,atakua kuna mtu aliweka fungu lake kubwa ili amfanikishie anunue hilo gari ndo maana anaona jau ukiwa unataka kuliendesha usijepishana na mwenye nalo..yeye kukaa nyuma anahifia mkionwa pamoja..maana ukionwa wewe pekeako anaweza sema wewe ni mfanyakazi wao alikutuma..
Kama si hivyo nnavyofikiria tofauti na hapo huyo mwanamke ana roho ya uchoyo sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri.
Mke wangu pia ni mchakarikaji na anaitumikia biashara ya vyombo vya ndani na mapambo ya ndani ambayo kwa pamoja tuliifungua na inafanya vzr sana.
Tumejaaliwa kuwa na gari moja Suzuki modeli mpya ambayo kiukweli aliinunua yeye mwaka Jana January. Kwasasa mimi ni fundi wa mashine za aina mbalimbali ikiwemo majenereta, magreda, kreni n.k. Na kwa kuwa mishe zangu za kiufundi hazihusishi sana matumizi ya gari ya kutembelea kwahyo huwa naitumia mara chache sana.
Baada ya kumfundisha mkewangu kuendesha akawa nayo kuanzia hapo. Mie Nina pikipiki ambayo hunipeleka huku na kule na kunifanikishia mishughukiko yangu yote bila tashwishi . Ninapohitaji gari kwa ajili ya matumizi ya hapa na pale au ninapoonyesha dalili ya kwamba nitatumia gari siku hiyo, papo hapo mke wangu huanza kujiskia karaha na ataanza kuongea maneno ambayo yanatoa ishara kwamba hataki ntumie gari.
Ukweli sipendezwi na hali hiyo maana inaudhi sana. Kwakuwa nimeshamjulia huwa nampuuza afu nachukua gari naenda kwenye kusudi nililolenga lkn furaha yake hutoweka kwa siku hiyo na hukereka kiukweli. Ingawa mie ndo niliyemfundisha kuendesha lkn pia haniamini napoendesha gari na hapendi nimuendeshe na kila wakati anasikika akinikosoa ninapoendesha, yani huwa dereva namba moja wakati aliyeshika usukani ni mimi.
Na kwa vile ameshajua pia nampuuza katika hilo, mara nyingi mke wangu huamua kukaa siti ya nyuma kwa vile haamini udereva wangu na huona kama nitamsababishia ajali akikaa mbele.
Kwa ufupi hapendezwi ninvyoendesha gari na hili jambo linanikera sana.
NAOMBENI USHAURI WENU WA KUNIJENGA KTK HILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Saikolojia inatuambia kuongea vitu vinavyoumiza moyo wako ni tiba. Kwa hapa jf kwa kua hajataja majina wala kuweka picha huu uzi hauna madhara ila utabaki hapa kuwa fundisho kwa vizazi vijavyoNimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Hahahaha haya!Saikolojia inatuambia kuongea vitu vinavyoumiza moyo wako ni tiba. Kwa hapa jf kwa kua hajataja majina wala kuweka picha huu uzi hauna madhara ila utabaki hapa kuwa fundisho kwa vizazi vijavyo
Kha! Sasa ndio nini hivi Mnondwe tumia basi hata tafsida upunguze makali😂😂😂Hiyo gari amenunuliwa na msaidizi wako,ambae kwa mkeo wewe ndiyo msaidizi,huyo ndiyo baba mwenye mji.
Jamaa anakasirika akiona wewe unaendesha kwakuwa kamnunulia kimada wake,chunguza utakuja kunishukuru.
Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
Komaa faza,kaza sanaaaaaa! Vuta chuma chako na umpuuze na ndingaye! Toa kabisa dalili za kuonekana unaitegemea ndinga yake ktk mishe zako! Tena kwa sasa mbona kuna huduma nyingi za usafiri kama UBER,TAXIFY etc. Kaa humo huku ukizichanga na kuvuta mchuma wako!Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri.