Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

Mbunye
 
Kuna majamaa yanataka nguo zao zifuliwe na mke tu sio na mtu mwingine

Demi, hivi kwenye ulimwengu wa sasa hii dhana ya kupikiwa na mke na kufuliwa na kupikiwa kwa mikono mke tuu bado iko applicable kweli!? Kuna wakati wasaidizi (watu na mashine) vinatakiwa ili maisha yaendelee, mradi tuu mama ujue kusimamia

Nawaza vile baba chanja yuko kule anatafuta na mimi niko huku natafuta wiki nzima halafu tukikutana kwa masaa machache mimi nianze kufua..... wallah angenimind mbaya😀😀😀😀

Ila weekends mimi ni mtumishi wake na wanawe, tena mtumishi mtiifu na nafurahia
 
anza kulala nje na tafuta mwanamke mwingine huko nje,pia nguo zako uwe unatoka nazo zikafuliwe huko,ukifanya hivi utakuja na mrejesho mzuri,akishakaa sawa huyo wa nje piga chini kimyakimya
 
Right on man, this is it!
 
Huyo itakuwa kalelewa kwenye familia ya kazi zote ni za beki tatu. kumbadilisha ni ngumu mno apo mzoee tu au leta beki tatu hapo nyumbani.
Beki tatu akifika, mama mwenye nyumba hachukui round, meza inapinduliwa!
 
Nakazia
 
Wewe mwenyewe unaona upo sawa ila mlipofunga ndoa kuna mahali umeandikiwa kuwa wewe huyu mkeo ni mfanyakazi first of all umeambiwa unaoa mke au mkijakazi .
Halafu mbona nyie wanaume mnaona kama umeoa mfanyakazi??

Ipo siku utakuja jutia akipata wakumfadhili amng'arishe , amfungulie biashara ndogo yakufanya kama duka au kitu anachotaka na kumnunulia gari nguo za gharama .
Ampe penzi tamu sana ampeleke massage akapakwe rangi kucha apelekwe sehemu za starehe na watoto wako.wapelekwe shule nzuri nawapendwe .

Mwanamke niwakusaidiwa .
Amechoka amekuzalia amekulelea watoto wako wamefika hapo ulipo wewe siumtafutie mfanyakazi au dada wakufua nakumuomba amsaidie baadhi ya kazi .

Mpende kakuzalia , na bado yupo hapo kwa ajili yako .
Umeoa kisa mapenzi na familia kuhusu usafi weka msaidizi ukiibiwa wife usije kutulia hapa siye tunachapa matusi tu.

Watu saizi wanatafuta wake za watu wawakimbize wakalee hawajali na maisha magumu .
Sio kwa wotee.
Tena Dar nimesomaga huko napajua nakama sio dar basi kote .
Watoto sio kazi kulea angalia ukiwa na doh hakuna mtu anayetaka kuolewa saizi na choka mbaya watu wanabanana kwa mtu mwenye mke wake wako kumi .

Wewe unamtu anakuvumilia unaleta mdomoo . Nyodooo
Soon utalia walahi utakuja kusema hapa a. Hapaaa
 
Daaah tabia zote hizo bado hujampatia mbadala,una upendo wa agape
 
Wanawake bwana
 
Fukuzaaa over, alafu uoe mfanyakaz wa ndani
 
Ukisikia watu wakisema kosea vitu vingine lakini usikosee kuoa.

Hapo namna hakuna.

Kama dini yako inakuruhusu kugawa talaka basi fanya hivyo.

Au kama inakuruhusu kuoa mke wa pili na unauwezo wa kuwatunza basi fanya hivyo.

La sivyo tafuta mfanyakazi wa ndani.


Au mrudishe kwao kwa mwezi mmoja au miwili ili akafundwe upya Waeleze wazazi wake hizo Keko zake.
 
Mabonge ni wavivu sana.
I guess huyo ni bonge.
Kinyume na hapo huyo binti amekosa malezi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…