Kazi za nyumbani zinachosha mnoo hasa ukiwa na watoto wadogo huwa unafika wakati mama hata ukiona uchafu Wala hutamani kuutoa asee inawezekana Ni mvivu lakini kaz nazo zinachosha Sana jaribu kwanza kuzungumza nae Kama Hali ikiendelea mtafutie msaidizi
Hahahaha hakika nimecheka wanaume wanadhani Ni rahisi Sana Ila malezi Ni kazi ngumu sana Mimi min mmoja lakini show ntaiona vizuri tu Kama una mkono mwepesi unapiga vitoto Hadi unalia mwenyew jamani tuhurumiane tuAna watoto wawili na lazima ni wadogo wanaohitaji usaidizi 100%. Hapo wakati mume anamka anaoga na kwenda kazini mke anaanza na
.asafishe nyumba
.kuweka watoto kwenye pot wajisaidie
.anawaogesha
.awapikie
.aanze kuwalisha, wakiwa wasumbufu kama wangu inaweza chukua 2hrs
.kabla hawajamaliza kula watapike, aanze tena kuwalisha.... hiyo ni saa nane mchana
.ajitaftie yeye chakula
.aoshe vyomo
.asafishe nyumba tena maana washatapika, washajisaidia, washamwaga vitu
.kama maji hayapo ndani akachote yanakopatikana
.aende gengeni kununua mahitaji
.arudi akute wamejisaidia aanze kuwasafisha
................
...............n.k
Jioni anakua kajichokea hata hamu hana yello masai
Hivi vitu vinaonekanaga vidogo ila vinachosha na vyote vinatakiwa kufanyika kwa ukamilifu 100%
Na ndio maana anaamka saa tatu. Maana analala hoiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana watoto wawili na lazima ni wadogo wanaohitaji usaidizi 100%. Hapo wakati mume anamka anaoga na kwenda kazini mke anaanza na
.asafishe nyumba
.kuweka watoto kwenye pot wajisaidie
.anawaogesha
.awapikie
.aanze kuwalisha, wakiwa wasumbufu kama wangu inaweza chukua 2hrs
.kabla hawajamaliza kula watapike, aanze tena kuwalisha.... hiyo ni saa nane mchana
.ajitaftie yeye chakula
.aoshe vyomo
.asafishe nyumba tena maana washatapika, washajisaidia, washamwaga vitu
.kama maji hayapo ndani akachote yanakopatikana
.aende gengeni kununua mahitaji
.arudi akute wamejisaidia aanze kuwasafisha
................
...............n.k
Jioni anakua kajichokea hata hamu hana yello masai
Hivi vitu vinaonekanaga vidogo ila vinachosha na vyote vinatakiwa kufanyika kwa ukamilifu 100%
Hahahaha hakika nimecheka wanaume wanadhani Ni rahisi Sana Ila malezi Ni kazi ngumu sana Mimi min mmoja lakini show ntaiona vizuri tu Kama una mkono mwepesi unapiga vitoto Hadi unalia mwenyew jamani tuhurumiane tu
Hata Mimi sipendi kufua, nguo hazijawahi isha. Ukiona sifui nguo ipasavyo nyanyua majeans yako kafue mwenyewe.
Mnunulie washing machine.
Na ndio maana anaamka saa tatu. Maana analala hoiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh Miss Natafuta naona una stress na maishaSasa unataka tuje kufua na kufanya usafi kwako au unataka nini?
Nachokiona hapa ni ujinga wako tu
Achaneni simple like that
Kama. Mtu hakidhi matakwa yako tafuta mwingine
MoshonoNiende mpaka wapi ndo utatuma hizo namba.Kijenge au Ngaramtoni au Monduli?
Na ya kufuta vumbi amnunulie?,na mbususuuu pia akanunue nyingine?Mnunulie mashine ya kufua, ni elfu 95 tu.
Me sifuiHata Mimi sipendi kufua, nguo hazijawahi isha. Ukiona sifui nguo ipasavyo nyanyua majeans yako kafue mwenyewe.
Mnunulie washing machine.
Kuna majamaa yanataka nguo zao zifuliwe na mke tu sio na mtu mwingineMe sifui
Watu wa kufua hadi elfu 2 wapo
Kuna kazi ukishavuka 30 hutakiwi kufanya tena.mambo mengi ya kufanya mbona?Kuna majamaa yanataka nguo zao zifuliwe na mke tu sio na mtu mwingine
Uonevu tuKuna kazi ukishavuka 30 hutakiwi kufanya tena.mambo mengi ya kufanya mbona?
Nimfulie kwanini kwanza?Uonevu tu
Kwasababu wewe ni mwanamkeNimfulie kwanini kwanza?
Ananipa niniKwasababu wewe ni mwanamke
Ha haaa basi tu utamaduni wa kisengeremaAnanipa nini