Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!