Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Sasa naelewa kwann wanaume mnakufaga mapema, kuna muda matatzo ni kama mnajitafutia.

Nakusikitikia Mungu akupe maarifa na hekima uweze kufanya maamuzi sahihi kwa wakat sahihi.
Mkuu unataka nifanye uamuzi gani katika mda muafaka kwasababu nikipima pima option ya kumuacha itanicost me sana kiuchumi na ki saikilojia, na hi tabia sio rahisi kwamba ukimjemea atacha papo hapo.
 
ACHA HIYO NG'OMBE HARAKA SAANA, THEN NJOO INBOX NIKUUNGANISHE NA KABINT KABIIICHII KAKIZIGUA
Mkuu kuoa kwa sasa sitaki tena nilisha choka wanawake wana udhaifu mbalimbali mpaka unajiuliza hao watu ni mtihani tu kwetu wanaume au nini?
 
Pole kwa changamoto mkuu.
Unaweza kumsaidia mkeo ikiwa yeye anaona kuwa hilo ni tatizo lakini kama yeye haoni ni tatizo hapo wewe ndiye utakayeumia.

Pengine hawezi kupangilia ratiba zake, aanze na kipi? Kwavile ni mzito angekuwa anaamka mapema akaandaa kifungua kinywa ndio aendelee na shughuli nyingine.. chai saa 2, mchana saa 7 jioni saa moja hapo katikati watoto lazima wawe na mlo mdogo.

Hiyo ratiba yenu ya chai saa 6 mchana saa 11 watoto inakuwaje?

Msaidie ajifunze kupangilia shughuli zake kumuacha kwasababu hajui kupika sio suluhisho.. ikishindikana fanya mwenyewe ili uwe na amani ya moyo.
 
Mkuu sasa mimi nikianza kubaki nyumbani ni pike nani ataleta bread on the table? Kingine yeye anaona sio tatizo kabisa ukimkazania bila kucheka nae ukamnunia na kumuelekexa kila jambo atajitahidi akuridhishe hizo siku mbili tatu ukiacha tu kununa na kumsema anarudi kule kule, milo mitatu kwa wakati kwake ni mwiko hawezi labda apike kingi mle kama kiporo badaye, hi nichangamoto kubwa sina matumaini yoyote ya yule mke kubadilika kabisa.
 
Ukiamka asubuhi sa 12 muulize leo hatuli😃
Sa 2 chai itakuwa tyr
Ikifika sa 5 hvyohvyoo
 
Mkuu sasa mimi nikianza kubaki nyumbani ni pike nani ataleta bread on the table? Kingine yeye anaona sio tatizo kabisa ukimkazania bila kucheka nae ukamnunia na kumuelekexa kila jambo atajitahidi akuridhishe hizo siku mbili tatu ukiacha tu kununa na kumsema anarudi kule kule, milo mitatu kwa wakati kwake ni mwiko hawezi labda apike kingi mle kama kiporo badaye, hi nichangamoto kubwa sina matumaini yoyote ya yule mke kubadilika kabisa.
Pika chai/uji sa 12/1 asbh

Ye akipika sa 6 na sa 12 si mmekula mara 3 hapo

Siku ukikosa kazi ye akatafuta hutapika?
 
Acha kupoteza muda ndugu. Nenda tu kale mgahawani kimya kimya. Ukirudi nyumbani ni mwendo wa kupiga mruzi tu.
 
Mkuu sasa mimi nikianza kubaki nyumbani ni pike nani ataleta bread on the table? Kingine yeye anaona sio tatizo kabisa ukimkazania bila kucheka nae ukamnunia na kumuelekexa kila jambo atajitahidi akuridhishe hizo siku mbili tatu ukiacha tu kununa na kumsema anarudi kule kule, milo mitatu kwa wakati kwake ni mwiko hawezi labda apike kingi mle kama kiporo badaye, hi nichangamoto kubwa sina matumaini yoyote ya yule mke kubadilika kabisa.
Kununa sio vizuri kwa mambo yanayozungumzika.. pia kwa yeye kutokuona sio tatizo hapo ndio tatizo lilipo.

Nyie watu wazima mnaweza milo miwili vipi kwa watoto? Miaka 7 na hajabadilika kwa upendo tu muombe ajifunze kupika kwaajili ya watoto na wewe kwani sioni watoto wenu kuwa wenye afya na bahati mbaya wakike wakikua watakuwa wavivu kama mama yao, wataona ni kawaida na waja watawaona kama wachoyo na wamelelewa vibaya.

Kama haitaji msaidizi au kujifunza kupika kozi fupi muombe akapumzike nyumbani ajifunze kwaajili yako na watoto na wewe jifunze huo muda kuwa bila yeye kuwepo wewe unaweza maana hatuishi milele.
 
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.

nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Bora tepetepe kuliko kulishwa chumvi nyingi
 
Bora tepetepe kuliko kulishwa chumvi nyingi
Mmh mkuu acha tu yote ni matatizo tu, hapa na fokeana naye nimetoka saa 7 kuenda kuswali ni merudi saa mbili bado hajakamilisha kupika chakula cha mchana/cha usiku alf anaona na muonea kumuambia mbona hajatenga chakula mpaka sasa hivi.......ni shida tu mkuu.
 
Bro vaa kanga pika mwenyewe asikuchoshe....
Bibie kuna majukumu mengi yanao ni kabiri ili hi familie iendelee kukaa mjini na kufurahia maisha na mtaji mkuu ni kichwa changu sasa kama ndo nikiingize jikoni sasa mwenzangu afanye kazi gani?
 
Back
Top Bottom