Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Huyo ni wa kuwekea masharti kwamba break fast ikizidi mda fulani utakula mwenyewe,kama huwezi kuwa mwanaume hapo kwako inabidi upike.
Kwangu lunch ni saa saba.
Mambo mengine ni simple tu kuweka sheria
Hilo nilishawahi kuweka hizo sheria nikiwa anachelewa naeenda kwenye mgahawa Centre kula hakubadilika pia hapo nikama nilimpa unafuu zaidi.
 
Hilo nilishawahi kuweka hizo sheria nikiwa anachelewa naeenda kwenye mgahawa Centre kula hakubadilika pia hapo nikama nilimpa unafuu zaidi.
Sasa kama unaweka sheria inavunjwa unaenda kula mgahawani utasolve vipi hilo tatizo,ashakuona sukari
 
Sasa kama unaweka sheria inavunjwa unaenda kula mgahawani utasolve vipi hilo tatizo,ashakuona sukari
Mkuu dawa ni kumvumilia tu sina jinsi hivi viumbè ni vigumu sanaa kadili tabia.
 
Mkuu dawa ni kumvumilia tu sina jinsi hivi viumbè ni vigumu sanaa kadili tabia.
Niamini mimi kuvumilia umeshindwa ndo maana,ukaleta uzi tafuta suluhu ya kudumu kabla hujapatwa ugonjwa wa moyo
 
Niamini mimi kuvumilia umeshindwa ndo maana,ukaleta uzi tafuta suluhu ya kudumu kabla hujapatwa ugonjwa wa moyo
Nimepata relief kujua kwamba kuna wenzangu wanapambana na shida kama yangu.
 
Ni tabia moja ya kipuuzi sana...yani muda wote huo anafanya nini mpk chai saa sita?chakula saa 11...
Chapa viboko huyo Adamke alaa
Mkuu naona ni kama kirema filani huyu hawezi kubadilika kuna namna mbili tu kumuacha hivo hivo kwa kumbumilia au kumpa talaka ila talaka ina ugumu wake kwa sasa.
 
Mkuu naona ni kama kirema filani huyu hawezi kubadilika kuna namna mbili tu kumuacha hivo hivo kwa kumbumilia au kumpa talaka ila talaka ina ugumu wake kwa sasa.
sikiliza.
Ajiri maid /mpishi mana nayo matalaka yana maathari mengi kuliko kupikiwa chai saa 6.
Nnavyopenda kula na kupika vizur naweza kukuelewa kabisa vile hii kitu inakukwangua nafsi! inakera naelewa.
Mimi msichana wa kazi akiwa hajui kupika siwezani nae!
 
Watu wa namna hiyo ni wachoyo, na ndyo maana unakuta kila kitu kipo lkn hapk kwa wakati. Ni wachoyooo hawataki wengine wale, kuna mmama nayeye nilimshuhudia ujue anajizungushaaa mpka njaa inafanya kukata. Unamuuliza tupike nni anakujibu nitapika usjali, sasa chakula kinaiva saa 11 eti ni cha mchana hapo chai mmekunywa saa 7 yaan kuna wanadamu ni changamoto.
 
Binadamu tunamapungufu sana.

Kuna manzi wangu, She is poor in communication hasa text.

Hii tabia sijui vpi, ila ina ni turn off mbaya, nimezoea nikiwa na demu wagu kua na mvua za text ni kawaida.

imefika kipindi na chart na ma x na bestfriend zangu kuliko yeye.

Sometime's nahisi labda hanipendi, lkn nikimchunguza nakuta hata ndugu zake wanamlalamikia hua hawatafuti na kuwasiliana nao ipasavyo.

Kuna siku nilijaribu kumchana, akaishia tu kujisikitikia tu na kusema atabadirka lkn hakuna kitu.

Kama nitaamua kumuoa, Hii tabia sijui ntakabiriana nayo vpi.
utacope tu.
 
Watu wa namna hiyo ni wachoyo, na ndyo maana unakuta kila kitu kipo lkn hapk kwa wakati. Ni wachoyooo hawataki wengine wale, kuna mmama nayeye nilimshuhudia ujue anajizungushaaa mpka njaa inafanya kukata. Unamuuliza tupike nni anakujibu nitapika usjali, sasa chakula kinaiva saa 11 eti ni cha mchana hapo chai mmekunywa saa 7 yaan kuna wanadamu ni changamoto.
Umejua je mkuu kuna ukweli hapo, wakwangu pia ni mchoyo ila kazi za kupika pia ni changamoto hawezi kufanya kazi za ndani kwa wakati pamaoja na kua na uchoyo pia naona wazazi hawakumuanda kujua domestic work.
 
Wakati wa kudate ulipaswa lumfanyia inteview, angekuja hom aandae sotojo....ungejua mapema tu.
 
Ila kama unavyosema kuish na mtu awe wakike au wa kiume n changamoto; hasaaa ukijua tumelelewa katika misng tofaut na ndyo tumekutana ukubwani. Ndoa inahitaji uvumilivu, lkn kuna la kujifunza hapa kabla ya kuingia kweny ndoa.

Lkn kiukweli kuna jinsi tunafaa kujuana kabla ya kuoana, ili ujue kama kuna madhaifu hayabebeki na huwez mbadili uwe na uamuz sahihi wa kufanya
 
Wakati wa kudate ulipaswa lumfanyia inteview, angekuja hom aandae sotojo....ungejua mapema tu.
Interview huo mda utaupata wapi mkuu vipaumbele vyangu vilikia Dini ni dhamu family na uzuri wake kupika nilijua tu atajua tu
 
Ila kama unavyosema kuish na mtu awe wakike au wa kiume n changamoto; hasaaa ukijua tumelelewa katika misng tofaut na ndyo tumekutana ukubwani. Ndoa inahitaji uvumilivu, lkn kuna la kujifunza hapa kabla ya kuingia kweny ndoa.

Lkn kiukweli kuna jinsi tunafaa kujuana kabla ya kuoana, ili ujue kama kuna madhaifu hayabebeki na huwez mbadili uwe na uamuz sahihi wa kufanya
Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.
 
Hivi sisi men sometimes tunakosea sana,sasa mtoa mada anasema kabla ya ndoa hawajawai kukaa wote pamoja.Yani wao wanakutana wanakula msosi kila mtu na mishe zake ,sasa ndugu unapata wapi kuoa mwanamke ambaye hujawai onja mapishi yake mpaka unamuoa.

Mi nadhani mtoa mada umepata ulichostahili kwasababu umefanya uzembe mmoja hivi ambao ni wa kipuuzi sana (naweza sema ivo) ,pia mnaopanga kuoa mjifunze point ndogondogo hizi ,na inaonekana demu ni wale royal families ambao wanaona fahari kutoka na wapenzi wao kila kukicha msosi nje ya geto.

WAJINGA NDIO WALIWAO,KEKUNDU SIO MWENYE PESA,KEKUNDU SHETANI KEKUNDUUU.
Over🙌
 
Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.
Eeh!! Yaani ulivyokazania wanawake Wana madhaifu mengi sanaa. Kuna wakina sie, sipendi kupika, sipendi kula😂, maji ungeita mma. Kukataa msaidizi anajua huenda akasaidiwa na mengine kwahiyo Bora akomae na vile ashajua unaendelea kumvumilia , Kuna haja gani ya kubadilika ikiwa anaetaka nibadilike Hana athari kubwa na mimi!?. Hata mimi siwezi kubadilika kama mtu anaendelea kunivumilia.

Kuachana sio sahihi kisa kupika, lakini waweza tilia mkazo, hutaki kujifunza nakurejeshea home kwenu kwanza ukiwa tayari kujifunza utanambia, uone atakuwa radhi umpeleke kisa tu hataki kujifunza kupika!?. Kuna muda inabidi uweke pressure kiasi katika mabadiliko ya mtu. Ila kama umeamua kulibeba hivyo hvyo hawezi badilika.
 
Kuvumilia mtu mzima asio jitambua sio jambo rahisi mkuu ni kumshirikisha tu Mungu tu, wanawake wana madhaifu mengi sanaa.
Hata wanaume mna mapungufu yenu, lkn hatusiti kuwavumilia. Mwisho wasiku kila mwamba ngoma atavutia kwake, sote tuna mapungufu. Ingawa kuna mengine unaweza mbadilisha mtu, kuna watu wanabadilishika ujue.

Ila upendo usitir wingi wa dhambi(mapungufu).
 
Back
Top Bottom