Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Binadamu tunamapungufu sana.

Kuna manzi wangu, She is poor in communication hasa text.

Hii tabia sijui vpi, ila ina ni turn off mbaya, nimezoea nikiwa na demu wagu kua na mvua za text ni kawaida.

imefika kipindi na chart na ma x na bestfriend zangu kuliko yeye.

Sometime's nahisi labda hanipendi, lkn nikimchunguza nakuta hata ndugu zake wanamlalamikia hua hawatafuti na kuwasiliana nao ipasavyo.

Kuna siku nilijaribu kumchana, akaishia tu kujisikitikia tu na kusema atabadirka lkn hakuna kitu.

Kama nitaamua kumuoa, Hii tabia sijui ntakabiriana nayo vpi.
 
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.

nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Mkuu shukru mungu kwa hilo kuna mwenzako yeye alioa mke hajui hata kuchemsha chai hajawahi ukumbuke ni ndoa kubwa sana ilifungwa kwa mbwembwe kama zote.Yule bbie akamwambie mme wake sijui kup[ika wala sijawahi kupika hata siku moja kama huamini mpigie simu mama umuulize.....maza akavutiwa waya nae akairi kuwa nikweli hajui maana hajawahi pika hata mara moja na akaomba ampe simu mwanae amuelekeze kupika kwa njia ya simu ......Ni hapo moshi mkuu
 
Inasikitisha kupoteza pesa mda hisia ufunge ndoa yenye gharama kukuta mke ni fake hawezi hata kazi za kawaida kama kuandaa chakula tu kwa wakati, mimi hiyo elitu-cost sio chini ya 27m wakati kuna watu wanafunga ndoa za laki saba tu, na wanapata wake wazuri........nimejifunza kutotumia pesa nyingi kwenye kuoa majuto yanakua kidogo
 
Tafta single Maza uoe utakuja kunishukuru
Singo maza tena hapana ndoa ya ma vetrain ex soldiers wa world war 2 hapana wana kasoro zao kubwa, hawezi kuwekeza hisia zake kwako, kuna sehemu zilienda au zipo kwako ipo kwa shida tu.
 
Inasikitisha kupoteza pesa mda hisia ufunge ndoa yenye gharama kukuta mke ni fake hawezi hata kazi za kawaida kama kuandaa chakula tu kwa wakati, mimi hiyo elitu-cost sio chini ya 27m wakati kuna watu wanafunga ndoa za laki saba tu, na wanapata wake wazuri........nimejifunza kutotumia pesa nyingi kwenye kuoa majuto yanakua kidogo
Hamchunguzani ndo shida hiyo mnacho angalia makalio,elimu,kwao zipo,mzuri na ukisasa.

Mnashindwa kujua kuwa jambo la msingi ni tabia yake vingine mnavyo angalia hapo juu vinakuwa vya ziada tu.
Haiingii akilini hadi unaoa hujui kama mkeo hajui kupika yaani hata kuchemsha chai hajawi huyo ni wanini sasa?
 
Wanawake wengi wanaficha tabia zao halisi unakuja kizigundua baada ya kuishi nae kwa mda mrefu.
 
Unahangaika na watoto wa 2000 wa nini. Hao wanawezana wwnyewe elf 2 kwwa 2000
 
Sijui ikifika wakati wangu itakuwaje, Mungu ni mwema kila wakati kila wakati Mungu ni mwema
 
Mkuu kweli kama lunch alianza kupika saa sita mchana kaivisha saa 11 kwahiyo akianza saa 11 kupika sapa si mutakula asubuhi yake saa 7 usiku hapo utalala saa ngapi natumia busara kimuambia ache kupika tunywe juice tu.
Mkuu, imekuaje mpk mmefikia hapo?
 
Huyo ni wa kuwekea masharti kwamba break fast ikizidi mda fulani utakula mwenyewe,kama huwezi kuwa mwanaume hapo kwako inabidi upike.
Kwangu lunch ni saa saba.
Mambo mengine ni simple tu kuweka sheria
 
Hivi familia za hivi ambao hata nyie hamuelewi muishije mtaweza kulea watoto au ndo kizazi cha watoto legelege
 
Wewe ndio ulimchagua huyo mwanamke. Inaonesha UK angalia sura na umbo tu likakidhi vigezo vyako.
 
Back
Top Bottom