Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sikufanya uchumba nae kabisa tulipeleka posa tukapangiwa mahare, tukalipa wazazi wakapanga sherehe pande zote, haikua rahisi kugundua kwamba hajui kusonga ugali au anachelewa kuanda chakula.Kwni kipindi mnafanya uchumba hiyo tabia ya uvivu hukuiona.?
Mimi sio tajiri mkuu ugali ni chakula muhimu kwetu, usipo jua kuupika unaumiza familia nzima.Ugali pia sio chakula muhimu sana kujua kupika, matajiri wengi hawali ugali.
Mkuu hiyo sio issue kwahiyo ntakua nimetatua tatizo hilo.Si ulioa mwenyewe silaikwini tako ndebendebe
Ila mkuu si dini inaruhusu muongezee mke mwenza
Ishi kitajiri mkuu, jizoeze kula wali, chapati, ndizi, viazi. Acha kulalamika ugali sio mtamu siju haujaiva.Mimi sio tajiri mkuu ugali ni chakula muhimu kwetu, usipo jua kuupika unaumiza familia nzima.
Kimjini mjini sasa milo 2 tu mkuu....hiyo saa 5 au 6 inaitwa brunch...chai/lunch moja kwa 2.....tgen usiku ukiwa vijana kama 4 plus nyie 2 utanishukuru baadae sana.....piga hiyo .....watoto 10yrs to 27yrs wanafukia weee usisikie...wapigishe style hiyooooHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Mkuu hiyo sio issue kwahiyo ntakua nimetatua tatizo hilo.
Labda anajua kupika kemikali, hakuna kitu sipendi kama kula nje ya ratiba kila siku.Mkemia kivip mkuu?
Mkuu acha mzaha,,Mimi nipo ndani ya ndoa kwa miaka 30 na nimevumilia mapungufu yake na yeye kavumilia yangu.....Mimi sijaiona sababu ya msingi kutoka kwako ya kutomvumilia mke uliyenaye....angekua mke wako ni mshirikina, mzinifu, anatoa siri za ndani, hakupi ushauri katika maisha yenu ninhekuambia moja kwa moja muache.....Kwahiyo nisubiri atabadilika akiwa amezeeka tayari tumekaa nae zaidi ya miaka 7 sioni mabadiliko yoyote kuhusu hilo.
Heeee Mungu akusaidie aiseeHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Akaa wakati na kazi nyingine kasaidiwaIndia jikoni mwenyewe
Mkuu akili zako nyingi 😂😂😂Kula miwili mlo wa tatu mle yeye.
Huuo atakua anajijua kwamba hajuilabda ukae nae chini umueleweshe vizuri
muulize kama hawezi kupika na hataki msaidizi ana mpango gani?
Hapana ni huyo wako tu mkuu, wengine ni madhaifu ya kawaidaNakuambia mkuu hapa ni kuuziana mbuzi kwenye gunia, na ukimuacha ukapata mgine unaweza kupata mwenye udhaifu zaidi ya huo, wanawake wanaudhaifu mwingi sanaa.
Kakupiga spana wa mjini umechukia hujui kupika?
Huyo ni chaguo lako mvumilie tu ndo mapungufu yake wewe mwenyewe una mapungufu yako anakavumiliaHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Dume, maisha ya kisasa ni 50-50, msaidie mkeo!Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.