Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatujazia server za jf, mwambie ale halafu aleNdiyo kauli zake sikuzote
Alisahau kuwa mapenzi hayana formula
❤️Ni kweli mke wanyumbani ni mtaamu akiwa anajua kupika na kufanya usafi wa chumbani huo ndo msimamo wangu.
Kama ana watoto wadogo watatu kazi zitakua zinamzidia. Nashangaa kwanini hatak mtu wa kumsaidia hapo.Watoto wapo watatu under 10yrs.
Kwani wote walikuja kwa mwaka mmoja mkuu? Tabia zake ni zile zile hata wakati hajapata mtoto hata moja, mandalizi ya nyumbani yalikua kipengere kwake.Kama ana watoto wadogo watatu kazi zitakua zinamzidia. Nashangaa kwanini hatak mtu wa kumsaidia hapo.
Ni kweli unajua kupika vyakula vingi kasoro ugali, ila tatizo kubwa anachukua mda mrefu kuanda hivyo vyakula imagine breakfast saa sita lunch saa 11, hata kama anajua kuvupika ila anachelewesha sanaa bila sababu za msingi.Sasa ba mdogo nshasoma nyuzi zako kadhaa hapa jukwaani!
Sasa ba mdogo umesema anajua kupika vyakula vingine kasoro ugali.....
Mkeo ni mtu wa Tanga ama manyara ndo wanakula ugali mlaini kama uji,
Sipend kushauri.....
Lakini kama anapika ugali wa uji emu mwambie aache maji yachemke asonge ugali wake uone, hata wa uji unakuwa mgumu au mlaaini kutokana na kiasi Cha unga.....
Ba mdogo ugali wa kiumeni lazima uwe mgumu kiasi Ila sio tepetepe......
Aseeh mwanamke asiejua kupika kwangu anakosa sifa...... Mwanamke acheze na jiko atoe maakuli safi masotojo tuu......
Miaka saba plus hajui kusonga ugali ? Hebu mtie vibao viwili usipoona changes hapo......
Aache masihara
Anaa mkono mzitoo........ Plus kujivutaNi kweli unajua kupika vyakula vingi kasoro ugali, ila tatizo kubwa anachukua mda mrefu kuanda hivyo vyakula imagine breakfast saa sita lunch saa 11, hata kama anajua kuvupika ila anachelewesha sanaa bila sababu za msingi.
Mmh!! mzoezi tena hapana, I think she is just negative abt domestic chores.Anaa mkono mzitoo........ Plus kujivuta
Mpeleke mazoezi achangamke changamke
Twende mbele turudi nyuma, hakuna kitu kinaudhi kama mwanaume uoe mwanamke kwa sheria na taratibu zote za kimila na kidini, halafu tena uje uanze kumfundisha KUPIKA! Aaargh.Si ni hao wa English medium ?
Mfundishe
Basi kupika apike mapema aseeh akiwa na wageni si utakodi mama lishe.....Mmh!! mzoezi tena hapana, I think she is just negative abt domestic chores.
Mkemia kivip mkuu?Huyo sio mke ni mkemia
Kwni kipindi mnafanya uchumba hiyo tabia ya uvivu hukuiona.?Kwani wote walikuja kwa mwaka mmoja mkuu? Tabia zake ni zile zile hata wakati hajapata mtoto hata moja, mandalizi ya nyumbani yalikua kipengere kwake.
🤣🤣 abhagasi abho abhafuga jinjala ni bhamumu sana wasueMisango ikomeye mjini khunu Wasu…..😅
Umenigusa katika andiko lako, ndoa kubwa sherehe kubwa, ila mke hawezi kuanda chakula kwa wakati loh! Inauma sanaa eti nimfundishe tena mimi.Twende mbele turudi nyuma, hakuna kitu kinaudhi kama mwanaume uoe mwanamke kwa sheria na taratibu zote za kimila na kidini, halafu tena uje uanze kumfundisha KUPIKA! Aaargh.
uliletewaHao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.
nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!