Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Sisi kwetu ukerewe mwanamke kama huyo ni laana katika familia, inabidi uombewe utambikiwe mizimu ili utakaswe.

Nakumbuka zamani alikuja mgeni wa kike nyumbani akapika ugali mbichi, mzee alimnyuka makofi vibaya mno. ADABU KWENDA MBELE.

Poleni sana MABABA JUNIOR.

Wazee wa TIK TOK.
eMisango ikomeye mjini khunu Wasu…..😅
 
Kama maeneo mengine anafanya mambo kwa usahihi isipokua eneo hilo tu, basi mvumilie tu, huku ukiwa unamsaidia kubadilika mdogo mdogo... Si mnasemaga Kila mtu ako na mapungufu yake.
 
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.

nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Msiwege mnaoa
 
Tafuta mfanyakazi pisi kali zaidi yake mlete alafu Ili asiondoke huyo mfanyakazi mlipe hela zaidi ya wanaopokea wafanyakazi wa kawaida... Baada ya wiki utaona anajua kupika mke
Hataki msichana wa kazi nilishawahi kuleta narudi amesha watomua na kuwalipa pesa zao za usumbufu
 
Mbona kawaida mimi sio muumini wa kuzini ndo nifunge ndoa huyu mwanamke nilimkuta bikra mkuu.
Kumjua mtu sio lazma mzini kuna namna ya kufahamiana mambo madogo madogo Kam hayo ya kupika nk
 
Ndiyo kauli zake sikuzote
Alisahau kuwa mapenzi hayana formula
Ni kweli mke wanyumbani ni mtaamu akiwa anajua kupika na kufanya usafi wa chumbani huo ndo msimamo wangu.
 
Ukiwa unamaindi kila kitu hamtaenda, kazi gani unayofanya ya kula milo mitatu yote nyumbani?! Utaniambia wikiendi basi unaonekana wewe unapenda sana kula. Muda wote unawaza chakula tu.
 
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna udhaifu usio vunjisha ndoa, wanaume tuna pambana na mengi kwenye ndoa.

nime mjaribisha hi ni weekend ya nne na shinda nyumbani bila kutoka kila kitu kipo tuna tumia gesi na mkaa kupika ila breakfast tunaipata saa 6 Lunch saa 11 za jioni, ana zungukazunguka ndani tu hatauelewe anacho fanya, hapo nime qmsaidia kazi zingine za usafi, usiku namuabia ache tu tunywe juisi tu kwasababu najua tutakula saa 6 kesho yake hiyo. Ila la kushangaa zaidi hawezi kusonga ugali unakua tepe tepe duh!!!
Naomba nije kumfundisha kusonga ugali na kuosha Mwiko 😅 (natania)
 
Au nikuletee MFUNDAMAHALA wa kizaramo ampe training ya masaa tu ili akae sawa
 
Kama hafanyi kazi yoyote mpelekee shule ya mapishi, akigoma mletee msaidizi , akigoma mrudishe kwao akajifunze kupika, akigoma mpige chini. Wanawake wako wengi sana tena watalaam wa jiko.

Swali la kizushi nini kinakuvutia zaidi kutoka kwake, kinachokufanya uvumilie mapungufu yake!
 
Back
Top Bottom