Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Mke wangu hawezi kuandaa milo mitatu kwa wakati na hataki msaidizi wa ndani

Pole sana kaka, kwanza ana umri gan? Pia anajishughulisha na Nini? Hilo suala linaboa sana umenikumbusha kipind flan tulienda Kwa in-law wetu chai ni sa5,6 na hajistukii, ndo lifestyle ndo mana cpend kufikia Kwa mtu labda iwe haiepukik lodg zmejaa
Ni wa 1995 msomi kiasi hajawahi kuishi nje ya mjini hajui kuendesha gari japo analo ni mvivu
 
Ndiyo wa ndoa tulikua hatujawahi kuishi pamoja hata siku moja tulikua tunakutana mchana tu, ilikua sio rajisi kugundua udhaifu wake huo.
Hii inawezekanaje ufunge ndoa na mtu usiyejua tabia yake mmmh [emoji848]
 
Umepata mke mzuri anaehitaji marekebisho kidogo.

1:Ni dhahiri mke wako yupo hivyo kutokana na malezi yake aliyopewa na wazazi wake.

2: Mfundishe taratibu aina ya maisha unayotaka wewe na unaweza kumleta ndugu yako wewe wa kike aje amuelekeze au mpeleke chuoni akajifunze mapishi na usafi, japo hukuzungumzia swala la usafi hasa wa nyumba lakini hayo ni matatizo yanayoendana.

3: Naamini sio mvivu ila tatizo hajui namna ya kutenda analopasa kulitenda ndio maana unamuona anazungukazunguka tu.
Nilisha mpeleka sehemu akae na familia kubwa ajifunze mengi ila sikupata matokeo chanya mkuu, huyu ni kumvumilia tu sitegemee jipya hata kulima kwenye mazingira ya nyumbani hawezi mpaka tipate kibarua.
 
Tafuta mfanyakazi pisi kali zaidi yake mlete alafu Ili asiondoke huyo mfanyakazi mlipe hela zaidi ya wanaopokea wafanyakazi wa kawaida... Baada ya wiki utaona anajua kupika mke
 
Back
Top Bottom