Karaoke
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 587
- 1,194
Mkuu uvumilivu unahitajika,,,sifahamu umemuoa akiwa na umri gani na mmeishi nae kwa muda gani ,lakini uhakika nilionao kutokana na maelezo yako ni kwamba miaka uliyoishi nae ni michache kuliko aliyoishi kwao,,,hawezi kubadilika kwa haraka kama unavyotaka wewe.Nilisha mpeleka sehemu akae na familia kubwa ajifunze mengi ila sikupata matokeo chanya mkuu, huyu ni kumvumilia tu sitegemee jipya hata kulima kwenye mazingira ya nyumbani hawezi mpaka tipate kibarua.