Eeh!! Yaani ulivyokazania wanawake Wana madhaifu mengi sanaa. Kuna wakina sie, sipendi kupika, sipendi kula[emoji23], maji ungeita mma. Kukataa msaidizi anajua huenda akasaidiwa na mengine kwahiyo Bora akomae na vile ashajua unaendelea kumvumilia , Kuna haja gani ya kubadilika ikiwa anaetaka nibadilike Hana athari kubwa na mimi!?. Hata mimi siwezi kubadilika kama mtu anaendelea kunivumilia.
Kuachana sio sahihi kisa kupika, lakini waweza tilia mkazo, hutaki kujifunza nakurejeshea home kwenu kwanza ukiwa tayari kujifunza utanambia, uone atakuwa radhi umpeleke kisa tu hataki kujifunza kupika!?. Kuna muda inabidi uweke pressure kiasi katika mabadiliko ya mtu. Ila kama umeamua kulibeba hivyo hvyo hawezi badilika.