Mke wangu hawezi kutunza simu

Mke wangu hawezi kutunza simu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
 
Nampeda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Ana roho ya uharibifu, ikemee hiyo roho kabla haijakomaa
 
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Simple tuu akivunja wacha anunue mwenyewe ajue uchungu wake
 
Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Kwakuwa unampenda, ni vyema ukamnunualia hii hapa.

Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.
 
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Ndg munulie ya 200-250k basi akivunja kioo ni 30000
 
Huyo yuko kama mdogo wangu.
Kwa kumsaidia mnunulie simu ndogo ambayo atakua anaitumia kila saa, alafu iyo simu kubwa aitumie wakati ametuliza akili, na hekaheka zikiwa zimeisha
 
Back
Top Bottom