Mke wangu hawezi kutunza simu

Mke wangu hawezi kutunza simu

Au mchukulie hii kabisa.

Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Nipe kazi nikuletee direct from China.
- Zaidi soma hii thread: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Mnunulie smart kitochi. Mimi mtunzaji sana wa simu. Maana nikiwaza kioo kilivyo ghali
 
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Kama anaweza kutunza kipochi manyoya, basi mvumilie tu broh.

Wapi ambao wanahusudu sana cm zao na kuzitunza, ila wanatembeza papuchi kama waokota makopo.
 
Huyo yuko kama mdogo wangu.
Kwa kumsaidia mnunulie simu ndogo ambayo atakua anaitumia kila saa, alafu iyo simu kubwa aitumie wakati ametuliza akili, na hekaheka zikiwa zimeisha
simu kubwa inafaida kwangu, naweza fatilia nyedo zake kirahisi. kiswaswadu ni shida
 
Mwambie aishonee ka mfuko kawe na kamba harafu awe anakavaa shigoni. Itadumu!
Akina mama wana shughuli nyingi hasa hasa hawa wamama wa nyumbani.
 
Kuna watu hawathamini vitu vya kupewa bila kutoa jasho au ambavyo sio vyao. Hii ni tabia mbaya sana. Akiharibu mnunulie kitochi apambane nacho.
Mimi sijawahi nunuliwa simu na mtu ,sijawahi poteza au kuharibu simu yangu maana najua uchungu wa kutoa hela nyingi sababu ya kubadilisha simu. Nimenunua simu wiki 2 zilizopita. Ambayo nilikuwa nayo nilinunua 2021 na bado ni nzima kabisa nimefanya kuwapa madogo.
 
Simu ya mama huwa ni simu ya familia....kila mtu ana haki nayo muda wowote kufanyia chochote na hakuna kitu utawafanya.
Kutunzwa inabidi uwe mbogo
Ya kwangu hakuna mtoto anaishika, labda ikiita ndio wananiletea. Hata dogo anajua simu ya bimkubwa hashiki. Anacheza na za dada zake huko.
 
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Wakati unatafuta mke hukujua unaoa kitu careless?

Anyways… tumeambiwa utaoa wa kufanana naye

Seems like it’s a careless family
 
Vipi umewashirikisha wazazi kuhusu hilo maana inaonekana umekerekwa mno
 
Back
Top Bottom