Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Sababu naitafuta kihalaliInaonekana pesa kwako ina thamani sana. Hongera na kila la kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu naitafuta kihalaliInaonekana pesa kwako ina thamani sana. Hongera na kila la kheri.
Sawa pambanaSababu naitafuta kihalali
Hilo ni tatizo dogo sanaMikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.
Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.
Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Wengi hawana kipato mkuuKwa nini asinunue mwenywwe?