Mke wangu hawezi kutunza simu

Mke wangu hawezi kutunza simu

Kwakuwa unampenda,mnunulie Samsung S24 Ultra,haivunjiki na haiingii maji
 
Mikono yake sijui inanini, simu nzuri baada ya muda kaiangusha, kioo kimepasuka. mara simu imeingia kwenye maji jikoni wakati, mara ameikanyage simu, ni taflani.

Mi ninaweza kaa na simu mpaka niamua kubadilisha au nimpe ntu la yeye akimaliza nayo miezi sita ni kushukuru Mungu.

Nampenda mke wangu ila hapa kwenye simu ananikera.
Mwambie apunguze kisirani tu
 
"Haumridhishi" ndo maana.
 
Com

Comments reserved
 
Back
Top Bottom