Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Mzee hiyo ilikuwa hasira, nilikuwa nataka nioe mke mwingine nimuache huyu mke wangu wa sasa, ila sikutaka maswali mengi na ndio maana nikapita short cut kusema sijaoa na natafuta.!Kwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.
View attachment 2000880
[emoji2][emoji2] secretary pompoe Uzi kila sekunde halafu pumba tupu,nikiona title nzuri nikakutana mwandishi ni secretary pompeo nlikua naupotezea huo Uzi najua hauna madini ya maanaJF wanakujaga machizi wanakwenda... kina secretary Pompeo kina Kenny Trump saivi mkulungwa
[emoji102]JF wanakujaga machizi wanakwenda... kina secretary Pompeo kina Kenny Trump saivi mkulungwa
Mchape makofi na wewe umwambie umezidiwaHabari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.
Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya.! Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.
Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.!
😂😂😂JF wanakujaga machizi wanakwenda... kina secretary Pompeo kina Kenny Trump saivi mkulungwa
Kwahio wewe ni muongo?Mzee hiyo ilikuwa hasira, nilikuwa nataka nioe mke mwingine nimuache huyu mke wangu wa sasa, ila sikutaka maswali mengi na ndio maana nikapita short cut kusema sijaoa na natafuta.!