Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

Screenshot_20211002-083617~2.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
 
Hilo la kuparuza bahati mbaya kwenye mstari wa backside ni mambo ya kawaida sana naona kama amecomplicate. Hakuna mwanamke ambae hajawahi kuguswa kwa bahati mbaya hiyo sehemu eneo lenyewe limekaa jirani kama jehanam na peponi [emoji1787][emoji2369]
Kuna kamstari kembamba sana kalikotenganisha kati ya mbususu na jirani yake, muhimu kuwa makini tu wakati kupalaza, ila wanawake wengine hua wanaomba wenyewe kabisa wapalaziwe kwa juu juu maana wanadai inaleta msisimko kama bwana pepsi.
 
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.

Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya. Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo (ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.

Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.
Your lucky hajakukwarua matako upate tetenas
 
Back
Top Bottom