Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La hasha!Kwahio wewe ni muongo?
[emoji16]Bora umenisaidia Ndugu.Kwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.
View attachment 2000880
Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.
Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya.! Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.
Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.!
Tayari wazee wa vilipuzi washabonyeza batani ya zoom😂😂Kwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.
View attachment 2000880
Alafu wote wanadai wako chuo. Pumbaf zaoJF wanakujaga machizi wanakwenda... kina secretary Pompeo kina Kenny Trump saivi mkulungwa
Bwana mdogo acha kuparamiwa na vitu heavyMzee hiyo ilikuwa hasira, nilikuwa nataka nioe mke mwingine nimuache huyu mke wangu wa sasa, ila sikutaka maswali mengi na ndio maana nikapita short cut kusema sijaoa na natafuta.!
Wanao comment Jf : [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakili: Enhee tuelezee ilikuaje?
Shahidi: Siwezi kuelezea hapa mahakamani..
Wakili: Mh jaji naomba ailezee mahakama chanzo cha kumpiga mkewe mpaka akazirai..
Jaji: elezea ...
Shahidi: jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta
Wakili: mstari wa ikweta ndio nini?
Mahakama kichekooooo!!!!
Jaji:[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakili:[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shahidi:[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Acha ujinga huo ni utamu wa kunyanduanaHabari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.
Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya.! Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.
Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.!