steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Anafikiri akipost baadae zinajifutaKwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.
View attachment 2000880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikiri akipost baadae zinajifutaKwani umeoa lini ndugu, maana September tuu hapo ulituambia wewe ni bachela.
View attachment 2000880
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Wakili: Enhee tuelezee ilikuaje?
Shahidi: Siwezi kuelezea hapa mahakamani..
Wakili: Mh jaji naomba ailezee mahakama chanzo cha kumpiga mkewe mpaka akazirai..
Jaji: elezea ...
Shahidi: jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta
Wakili: mstari wa ikweta ndio nini?
Mahakama kichekooooo!!!!
Jaji:[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakili:[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shahidi:[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hauleweki kama hii pichsView attachment 2001098
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio madogo wa siku hizi hao boom kutwa kununua bundle za simu wabet na kutrade forex na kuandika andika JFWw jamaa uwekage akiba ya maneno....
Mara ww n meneja wa makampun flan,
Mara mwanachuo,
Mara umeachana na mkeo
Mara unataka uoe mke wa aina flan
Leo mkeo kakufanyaje.......
Ww ni SABAYA ULIYECHANGAMKA
Uvuvi huu ni haramu.Habari, nahisi naweza kupiga mtu huku nielekeako, mke wangu tuki-sex hunitukana matusi ya nguoni na kama haitoshi humtukana mpaka baba yangu matusi ya nguoni. Nikimuambia anasema huwa anazidiwa na atajirekebisha.
Hiyo ndio kauli yake kila nikimuonya.! Sijui na-deal naye vipi, hilo tisa, kumi ni jana kanisukuma toka kitandani uzuri sikuangukia kisogo(ningeweza hata kufa), mpaka sakafuni kisa tu uume ulichomoka bahati mbaya ukaparuza juu ya mstari wake wa ikweta, halikuwa lengo langu ila nadhani mwenzangu alimaanisha vinginevyo.
Niliugulia mno, anyway niishie hapo nikijiandaa na safari.!