Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ww jamaa uwekage akiba ya maneno....

Mara ww n meneja wa makampun flan,

Mara mwanachuo,
Mara umeachana na mkeo
Mara unataka uoe mke wa aina flan
Leo mkeo kakufanyaje.......

Ww ni SABAYA ULIYECHANGAMKA
 
We mkulungwa na mke wako ni comedy toshelezi, nikiboreka tuu lazima nije jf kusoma thread zakošŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ‘
 
Hahaha nacheka kama mazuri ila huwenda humo ndani ya ndoa kuna vitimbi jaman
 
Ww jamaa uwekage akiba ya maneno....

Mara ww n meneja wa makampun flan,

Mara mwanachuo,
Mara umeachana na mkeo
Mara unataka uoe mke wa aina flan
Leo mkeo kakufanyaje.......

Ww ni SABAYA ULIYECHANGAMKA
Ndio madogo wa siku hizi hao boom kutwa kununua bundle za simu wabet na kutrade forex na kuandika andika JF
 
Kwani wewe Vile Vibao Vya wakati wa Tendo huvifahamu?

Mlambe makofii hasaaa, Akikuuliza na wewe mwambie utajirekebisha Huwa unazidiwa.
 
Uvuvi huu ni haramu.
 
Reactions: BAK
Nime miss sana Nyuzi za kitoabu hivi nyuzi kama zile siku hizi wana ziweka katika jukwaa gani?
 
KWANINI ATUKANE NDUGU ZAKO PEKE YAKE???
 
Extrovert njoo uweke emoji ya kucheka.. kucheka kwako kunanifurahisha humu ni kwa asilimia 95 kwa kugesi.. naamini huko ulipo upo hivyo haaujazi mabaya moyoni. Haya mshauri huyu
Yani mpaka natamani kumuuliza kwanini kila comment lazima aweke emoji ya kucheka🤣

Imetokea kukuelewa sana Extrovert
 
Nyie Wavulana vyuo havijafunguliwa tu? Mnatujazia maushuziushuzi humu na maupunguani yenu mjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…