nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Yale mafunzo ya jando na unyago yalikwenda wapi?Kweli wanaume tumebaki wachache sana

Siku hizi hayatolewiYale mafunzo ya jando na unyago yalikwenda wapi?
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Yaan mke ni wa kwako,anaishi kwako,anatumia pesa zako,chakula wanachokula ni nguvu zako bado unaogopa kumwambia akuongezee chakula!???Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
mkuu unategemea upate msaada huku JF ? huyo ni mkeo mwambieWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Sa utashibia hapa jf?! Na je kwichikwichi usipotosheka unaogopa kuongeza mzunguko😉😉😉😉 Wacha ujinga alooWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Pengine amekuona unakula sana akaona kiafya atakupoteza, anakupenda sana huyo mke, anafahamu purpose kwamba maisha sio kula tu. Acha kula hovyo hovyo, wewe ungeoa mke mwenye tabia kama za mke wangu ungekuwa umeshakufa kitambo kwa uzito kutokana na kula chakula kingi. Mke ukirudi nyumbani ukimwambia nimechelewa na nimeshakula hakuelewi anakujazia chakula na ukila kidogo anaona umemdharau, mpaka alivyokuja kunielewa ndoa ilikuwa hatarini kuvunjika. Acha kula hovyo ili ujenge mwili wenye afya iliyobora kuliko kujenga minyama.Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Mshukuru huyo mtu wa maana sana kwako, alishajua matatizo ya kula sana ndio maana anakupimia kidogo ili usiwe bonge nyanya. Unatakiwa umuelewe, bila shaka utakuwa mnene sana.Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Ilikuaje ukaoa ilihali bado una utoto hivi?
We nae eti unajiita mwanaume, unamuogopa mkeo, na hela wewe ndo unatoa.Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani, siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanyeje kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note: Mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.