Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani, siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanyeje kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note: Mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Wanaume tunaisha kwa kasi sana asee!!
 
Nchi imejaa MICHOKO kweli hii kama Lucas Mwashambwa
 
Kama senyenge vile, mama amina
 
Kwani umeshindwa kukuambia kuwa haushibi? anayenunua chakula apo nyumbani ni nani mpaka akupangie, yaani unamuogopa mkeo mpaka muda wa kula ukaanze kula nje?
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Anaemlipa DJ ndiye anaechagua wimbo, acha kulishwa na mkeo amka ukatafute.
 
Hebu njooni jmn mumuone huyu mvulana huyu

Hili ni jambo la kuleta jamvini

Ngoja tukunange ambaye u mtoro kwa vikao vya kiume waendelea na uvulana wako

Sheria ya kwanza ukioa

Usilembe na kujifanya maisha furani siku ya kwanza aanze kufahamu unapenda nin ishi maisha yako

Siyo uneoa ulikuwa unaenda kuangalia mpira mpaka uck wa manane unaacha ghafla 😂

Hakikisha wewe ndiyo unayemkontro afanye nini kwa muda upi

Cha kufanya

Subiri atenga pakua chakula chote kula kwa spid ampaka akuulize kulikoni?
 
Aise hivi wewe unaumri gani kwanza.Da mpaka naona aibu mimi eee MUNGU saidia hiki kizazi .Wanaume wanazidi kupungua.

Kama nikweli umechokiandika basi wewe umeoa ukiwa haujakomaa akili.
Au akili yako haina akili hebu jitazame kwanza.🤣🤣🤣🤣😄🤣🤣🤣🤣 Kungekuwa na uwezo wa kufuta basi ungefuta huu ujinga.
 
Back
Top Bottom