Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.