Mwambie hiviWakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani, siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanyeje kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note: Mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Soon Utakuja na uzi apa “naogopa kumuomba mke wangu Show”Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki.
Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona, yaani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu? mimi binafsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani, siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.
Wakuu nifanyeje kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.
Note: Mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Ndo huyu mrangi? Au huyu mke ni mwingine?Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka yani nilikua narusha diko mbwa haruki.