Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Hata chumbani kitandani pia?
 
Hebu njooni jmn mumuone huyu mvulana huyu

Hili ni jambo la kuleta jamvini

Ngoja tukunange ambaye u mtoro kwa vikao vya kiume waendelea na uvulana wako

Sheria ya kwanza ukioa

Usilembe na kujifanya maisha furani siku ya kwanza aanze kufahamu unapenda nin ishi maisha yako

Siyo uneoa ulikuwa unaenda kuangalia mpira mpaka uck wa manane unaacha ghafla 😂

Hakikisha wewe ndiyo unayemkontro afanye nini kwa muda upi

Cha kufanya

Subiri atenga pakua chakula chote kula kwa spid ampaka akuulize kulikoni?
Kweli mkuu jamii zimetofautiana kuna jamii nyinge Mwanaume saa 12 jioni yupo Nyumbani na kuna jamii nyingine mwanaume kurudi nyumbani usiku ni jambo la kawaida, Mke wangu mwanzoni nilikua nagombana nae kila siku, Yeye alitaka kuniletea tabia ya Baba yake yani kwababu Baba yake alikua ana rudi Nyumbani saa 12 na mimi alitaka niwe narudi kama Baba yake wakati na Mimi Mzee wangu alikua ana rudi Usiku saa 6 na sisi tunarudi Nyumbani muda ata saa 5 Usiku, Kwahiyo Vijana Ukioa Mwanamke anatakiwa afate utatatibu wako wewe Mume wake na siyo akuletee Utatatibu kutoka kwenye Familia yao. Yani ata Tamaduni afate tamadini zenu kama nynyi tamaduni zenu ni kuishi na wageni na kupika chakula kingi anatakiwa afate huo utaratibu huo.
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.

SIKU HIZI HII TABIA YA WANAWAKE KUOANA IMESHAMIRI SANA. SIJUI KWA NINI MNAPENDA WANAWAKE KUOANA? KILA MTU ATAFUTE MUME AU MWANAUME AOLEWE KIVYAKE
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Mimi ninaona unapewa chakula kulingana na pesa uliyompa, ongeza pesa utaongezewa chakula.
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Wewe itakuwa last born
 
Yani fedha utafute wewe, mke uowe wewe na bado unamuonea aibu. Kuna tatizo sehemu siyo kawaida.
 
Kanda ya ziwa ndio mnawaonea aibu wake zenu??
Ulimtongoz au wazaz walikutafutia?
Hata kama nimetumiwa kama vile warangi wanavyofanyiwa mie mwiko
Akitua kwangu siku hiyo hata kama huwa naingia home saa 12 jioni siku hiyo ntatafuta kitu chochote nirudi saa sita uck
Mzoweshe tabia zako halisi mapema
Maana ukija kuanza baada ya penzi kufubaa yeye atadhani umebadirika

Majanga yanakuwa majanga
 
Wakati naishi mwenyewe nilikua najipikia napiga menu heavy hadi jasho linatoka.yani nilikua narusha diko mbwa haruki.

Changamoto imekuja baada ya kuoa,kwanza diko linapikwa kiuchoyo naona,yani ka hotpot kamoja ndio tule familia nzima wakuu?mimi binsfsi huwa sishibi maana wife huwa ananipakulia msosi kidogo tu kwenye sahani,siku za weekend ambazo nashinda home huwa naenda kukazia mtaani na kitimoto yangu nusu na ugali.

Wakuu nifanye kwenye hii Changamoto maana naona hadi uzito wangu umepungua kwa kulishwa chakula kidogo.

Note:mimi ni mwenyeji wa lake zone, huko kwetu msosi sio wa kupimiwa.
Nadhani ulikosea wakati wa uchumba wenu!

Nashukuru umesema kuwa unaona aibu kumwambia. Hii inanithibitishia kuwa wewe ni mtu mwenye aibu. Ndiyo maana nasema inawezekana aibu yako ndiyo iliyokuponza! Wakati wa uchumba ulikuwa unakula chakula kidogo mbele yake kutokana na aibu yako.

Nadhani kwa kuona jinsi ulivyokuwa unakula chakula kidogo mbele yake wakati wa uchumba akahisi ndiyo kiwango chako hicho kumbe ulifanya vile kwa aibu ya kuonekana unakula sana!

Nadhani kosa ni la kwako! Tuwe halisi jamani!
 
Sasa tunakutuma, rudi kwa mkeo na umwambie hushibi! Unaweza kujiongelesha, "sijui nina minyoo, yaani nakula lakini sihisi kushiba kabisa! Kisha mwambie awe anaongeza kipimo!
 
Back
Top Bottom