Mke wangu huwa ananiwekea chakula kidogo kwenye sahani sishibi, kumuambia naona aibu

Hali hiyo nakumbuka nilipitia sana kwenye ndoa yangu, na ukiuliza unaambiwa kikawaida kula chakula kingi sio afya. Ilinibidi nkienda kazn nipitie tena kwa ma ntilie.
 
Mwambie hivi

Mke wangu, chakula chako huwa kitamu sana, ila huwa najiuliza kama unaweza kuniongezea kidogo ili nishibe vizuri

Kauli hii ni ya heshima na haitamkwaza
 
Soon Utakuja na uzi apa “naogopa kumuomba mke wangu Show”
 
Ndo huyu mrangi? Au huyu mke ni mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…