Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Bila shaka wewe utakuwa ni tegemezi kwake ndo maana unakuwa Bushoke wake,, Wala usisingizie uchawi

Tafuta hela mwanaume,, tafuta hela,,
Mwanamke akija night pigaa,, akirudia Tena fukuza,, wanawake ni wengi mnooh!!

#KUMBUKA UKIMWI UPO
Hapo nimekuelewa tatizo watoto bado wadogo na atawalea
 
Kwanza mkuuu nikuuulize yafuatayo ili nikushauri.

1.Nani mlipa kodi mnapoishi?

2.Nani mtoa huduma za chakula mnapoishi?

3.Nani mwenye vitu vya thamani mfano TV,kitanda mnapoishi?

NB.Ukinijibu maswali yangu hayo ntakupa ushauri hutajuta.
 
I'm sorry to say kwamba hii ni chai.
 
Nyuzi za facebook. Hiyo picha ni screenshot halafu unasema ulikuta uvunguni. Picha ya pili kwa hisani ya google.
 
Kwanza mkuuu nikuuulize yafuatayo ili nikushauri.

1.Nani mlipa kodi mnapoishi?

2.Nani mtoa huduma za chakula mnapoishi?

3.Nani mwenye vitu vya thamani mfano TV,kitanda mnapoishi?

NB.Ukinijibu maswali yangu hayo ntakupa ushauri hutajuta.
Ni tumepanga hapa mtaani ila kanikuta nina kila kitu labda siku moja moja hua anarudi na mboga au matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…