green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
- Thread starter
- #41
Hapo nimekuelewa tatizo watoto bado wadogo na atawaleaBila shaka wewe utakuwa ni tegemezi kwake ndo maana unakuwa Bushoke wake,, Wala usisingizie uchawi
Tafuta hela mwanaume,, tafuta hela,,
Mwanamke akija night pigaa,, akirudia Tena fukuza,, wanawake ni wengi mnooh!!
#KUMBUKA UKIMWI UPO