Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Na wewe kaolewe uwe unarudi usiku sana
Acha matusi mkuu yaani mi ni baba wa watoto kabisa unaniambia nikaolewe badala uniambie uniambie nimuombe mke wangu aniruhusu nioe mke mwingine
 
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.

Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani

View attachment 2080915

View attachment 2080920
Nimepoteza sekunde tano za maisha yangu kusoma upuuzi.
 
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.

Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani

View attachment 2080915

View attachment 2080920
Ushasema hatuwezi kukushauri kitu ukatuelewa maana unamuelewa mkeo sasa unatuandikia tukufanyaje? Tukupake mafuta? Na huo mdude ulio ukuta uvunguni mwambie kwanini msiuweke tu mezani uwe wa maonyesho....?

Hizi ni dalili za Kwanza za psychiatric disorders

One Man Down

Shwain [emoji1782]
 
Back
Top Bottom