Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Huko anakoendaga kuna sehemu pia za kulalaMkuu arudi asubuhi sasa ataenda kulala wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko anakoendaga kuna sehemu pia za kulalaMkuu arudi asubuhi sasa ataenda kulala wapi??
Hivi mkiongea uongo hua mnalipwa ama ?Mi toko ya jioni tu
Huna akili mpk ukamuachia aondoke naloKaisha libeba na sijui alipolificha
Hahah hahaha si unajua limbwata aliniambia anataka alione nikampa basi ndio sikuliona tenaHuna akili mpk ukamuachia aondoke nalo
Njoo huwa narudisha fahamu za waliofungwa kishirikina. Nakufanyia bureHahah hahaha si unajua limbwata aliniambia anataka alione nikampa basi ndio sikuliona tena
Atakubali kuinama nimpige tochi kweli mkuuLichukue hilo na kalitupe baharini.Maji chumvi/Bahari ndio kiboko ya ushirikina...
Kuanzia sasa mkague kote 071,,,,
Hiyo siwezi kubali maana watamfanya matusi tuHuko anakoendaga kuna sehemu pia za kulala
Acha matusi mkuu yaani mi ni baba wa watoto kabisa unaniambia nikaolewe badala uniambie uniambie nimuombe mke wangu aniruhusu nioe mke mwingineNa wewe kaolewe uwe unarudi usiku sana
Nimepoteza sekunde tano za maisha yangu kusoma upuuzi.Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.
Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani
View attachment 2080915
View attachment 2080920
Umesema huwezi ambiwa kitu maana unamuelewa, sasa wataka ambiwa nini tena?Ndio maana nataka ushauri wako mkuu
Sasa ninye nini ? Ili nibadilikePunguza ujinga...
Uwe unamsindikiza ili ujue anachofanywa hukoNdio maana nataka ushauri wako mkuu
Huo usiku anaorudi pia ashafanywa several timesHiyo siwezi kubali maana watamfanya matusi tu
Kasikilize wimbo wa bushoke "mume bwege"Kaisha libeba na sijui alipolificha
Aya bhnaaaaHayajakukuta kaka
Dah unanitisha mkuu kwa hiyo naonekana zobaWewe ushafanywa Zoba soon utakuwa ndondocha
Ubwege wangu nini sasaKasikilize wimbo wa bushoke "mume bwege"
Ushasema hatuwezi kukushauri kitu ukatuelewa maana unamuelewa mkeo sasa unatuandikia tukufanyaje? Tukupake mafuta? Na huo mdude ulio ukuta uvunguni mwambie kwanini msiuweke tu mezani uwe wa maonyesho....?Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.
Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani
View attachment 2080915
View attachment 2080920