Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Acha hadithi za kutunga makufuli haya sasa hivi hayapo kwenye sokoAkitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.
Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani
View attachment 2080915
View attachment 2080920