Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Labda aliona huna mpango wa kumuoa baada ya miaka yote hiyo ya kuishi pamoja..ndoa kwa wanawake means alot.
 
Usikae na KUMUAMINI MWANAMKE Kwamba ndo kila kitu chako katika maisha yako.

Ila kaa na UMUAMINI MWANAMKE, yakuwa ni kiumbe ambaye muda wowote anaweza kukubadilikia hata uwe au ulimfanyia nini ila akiamua kubadilika hakuna wakumzuia.
 
N.B

Muda mwingine uje na pure ID yako ili tukushauri kulingana na ulivyo, coz inaweza kuwa kutokana na IQ yako ilivyo ikapelekea haya yatokee.

Kila chanzo cha TATIZO, huwa chanzo ni mwenye TATIZO. SO isije ikawa haya yaliyotokea uliyaruhusu wew mwenyew.
 
Atarudi tuu Muda ndio utaongea Wewe akikisha akirudi akukute upo Vizur zaidi ya Alivyo kuacha Ili Ajute Maisha yake Yote Na Kamwe Usirudiane Naye ila Msamehe mwache akahangaike na Dunia hii Alafu wanaume ndio Sisi Sisi tuu
 
Je unaishi wapi?
Hapo "mwezi wa tatu kwenda Sumbawabga kununua mahindi";. Mh! Something fishy!
 
Wanawake wameshtuka nao sikuhizi full kuwaliza....endeleeni kuumizana
Mwisho wa siku mnakatwakatwa mapanga, kama mtu humtaki ni heri kumwambia ukweli mkamalizana vizuri tu.

Hii tabia ya wanawake kuwa waongo imeshika kasi sana, ni mbaya kwa ustawi wa jamii bora.
 
 
Mwisho wa siku mnakatwakatwa mapanga, kama mtu humtaki ni heri kumwambia ukweli mkamalizana vizuri tu.

Hii tabia ya wanawake kuwa waongo imeshika kasi sana, ni mbaya kwa ustawi wa jamii bora.
Na tunakufa kweli yaan,kwani tunasikia sasa☹️
 
Pole bro! Kwenye maisha haya wala usilazimishe mtu yeyote akupende, mpende sana mke wako/mpenzi wako lakini ikifika hatua akaenda kwa mtu mwingine itakuumiza lakini usijitese na mawazo mengi juu yake acha aende kwa amani wala usiweke kisasi chochote maana hayo ni mapenzi yake wala hutaweza kumlazimisha akupende na ukimlazimisha utaishia kuteseka tu.

Jipe muda fatilia uwezekano wa kumpata mtoto wako na akikataa kusanya ushahidi kwa chochote atakacho kueleza ikiwa atakwambia mtoto siyo wako kubaliana na hali tu maana yeye ndo mama anamjua baba wa kweli tafuta njia yoyote ya kuweka ushahidi juu ya hilo na uondoke kwa amani wala hutakua na lawama kwa mtu yeyote duniani wala mbele ya Mungu.

Na kwenye fikra zako wala usione kakukosea chochote kuwa na mentality kuwa nafsi ya mtu hailazimishwi kupenda mtu/kitu fulani, utapata tu mwingine utakaeelewana nae maana huna kosa kubwa ulilolitenda duniani hadi usipendwe na dunia nzima.
 
Kwa nilivyo elewa huyo mwanamke ni umezaa naye, ila sio kwamba kwao umeenda kujitambulisha na kutoa mahari, ingekuwa hivyo kwao wasingemruhusu kuolewa, na wasingekupa majibu mepesi namna hiyo, wote waliohusika kwenye kikao cha kupokea mahari wangemkalia kooni, si unaona hata ujasiri wa kuwapigia wazazi wake hukua nao ukawa unapita pembeni, angalia kaka jibu analokupa et ameolewa kwa madai ya kwamba ulimpa talaka, utaratibu wa kutoa talaka unajulikana maana yake wangeshiriki katika vikao vya kutatua migogoro, hivyo lingekuwa linajulikana.

Kiufupi na familia imehusika kwenye huo utapel ndio maana dada yake alikuwa hakupokelei simu. Fanya kama umetapeliwa na vibaka tu, kama anasema huyo mtoto sio wako inawezekana usijipe asilimia 100 anayejua ukweli kuhusu mtoto ni mwanamke
 
mazuzu hayaishagi tu
 
Dah ,Omopa wewe ni kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…