Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Brother shukuru Mungu kwa Kila jambo .Pambana muombe Mungu Rehema na Kibali atakupa kilichobora zaidi .
 
Mkuu kama ukiendesha gari inavuta upande mmoja hata baada ya kufanya wheel alignment na kubadili rack end, tatizo linaweza kuwa nini?
 
NI UTAPELI
KATAA KWA NGUVU ZAKO ZOTE

kazi kweli kweli/jobtruetrue

#
PONDA MALI KUFA KWAJA
 
Pole ndugu tambua tu kwenye maisha yako habari za kuhuzunisha zitakuwa nyingi kuliko za kufuraisha.
Miezi mitano umestahimili hongera move one.
Mtoto kama wako akikua atakutafuta TU baba damu nzito kitatokea kitu tu mtoto atamjua baba yake TU.
Mshukuru mungu Kwa yote akuwa fungu lako kama yeye mwajuma relax amina atakuja TU.
Maisha tunasindikizana Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Mwanamke pekee ambaye ata ukitoweka kwenye uso wa Dunia atakupigia Dua na kukufagilia nyumba Yako ya milele ni mamako mzazi wengine hao ata akupendaje unaweza ukafa Leo kesho kwenye msiba wako akachumbiwa na akaolewa siku hiyo hiyo yaani mazishi Yako na sherehe yake inaweza ikawa siku Moja .
Ndugu yangu wanawake matapeli TU wasikuumize kichwa ukipata nafasi ya kuumiza mwanamke umiza kikwelikweli usionee huruma kiumbe chenye mpasuo wa shoka.
 
Hawa viumbe ninejifunza kutowaonea huruma, mwenyewe sina historia nao nzuri, nishasomesha mwanamke chuo kikuu ili akitoka aje kuwa mke wangu alichonifanyis hspa mungu anajua
 
Duh! Kwani hii boda hukuwahi kuiona mkuu?👇
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    7.5 KB · Views: 2
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
Mtafute Nyundo mpe jukumu
 
Kosa kubwa sana ni unamuoa mwanamke housewife unataka kumfungulia biashara...kwann usioe mfanya biashara kabisa.?ambaye tayari anabiashara?

Ukitaka kuoa mfanyakazi nenda kwa wafanyakazi usimfundishe Binti eti awe mfanyakazi ndo umuoe..kosa kubwa sana...
 
Jipige kifua then mwambie Mungu, "Ahsante kwa kuniondolea hichi kimeo kwenye maisha yangu"
Then move on
 
Majanajike ya huo ukanda huwa ni majinga sana
 
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
Pole sana bro. Huyo dada ni vema kaonyesha mapepe mapema. Achana naye asije kudhuru. Umeumia lakini vumilia, hakufai huyu mwanamke.
 
Back
Top Bottom