Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
baya likuepukalo lina heri na wewe Kwa kua hukumpa talaka andika sasa talaka ipeleke kwao endelea na maisha mengine
 
Jithibitishie kuwa ameolewa then u move on. Unawezaje kujithibitishia???? Nenda kwao huko sumbawanga kwa wazazi wake ukawasikie mwenyewe badala ya kauli kaka yake. Usipofanya hivyo yakimshinda huko alipo anaweza kurudi akakwambia "nilitekwa Zambia na hukuwahi kunitafuta una roho mbaya sana baba watoto wangu" in her voice.

Ukajiona we ndio mkosaji, ukamsamehe.
Jiridhishe ikibidi nenda hata mbeya unapoambiwa alipo lakini si kwa shari umuone tu inatosha.

But, uki move on ukimpata mwingine usimfungulie saloon, usimtume mahindi kwao hata kama ni iringa. Usimfungulie duka. 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 bhana sio wote wako hivyo
 
Nipe inbox namba ya huyo dada yake na sisi tukusaidie kumvurugaaa
Hii hadithi haina muendelezo yaani mke wako anaenda kuwa mke wa mwanaume mwingine,(kuolewa), halafu inaishia hivyo hivyo, wapi mshenga, wajomba na marafiki wa karibu wa upande wa mwanaume
 
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
Achana naye uanze upya.. Hi akirudi akukute msupa zaidi .. Usiishi kwa stress ukaharibu afya na future yako atajisifu sana
 
Hapo aliposema mtoto akalelewe na baba yake ndo pa kupachunguza, ukishathibitisha mtoto si wako achana nae otherwise nenda ustawi aitwe mahakamani ili mume mpya nae aelewe kinachoendelea maana usikute naye anajua alimpaga mimba na pengine matumizi alikuwa anamtumia.
 
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
Pole sana kwa hayo maumivu unayopata,jaribu kusahau na upambane upate mwanamke mwingine uoe.
 
Pole San Kwa yaliokukuta,ila jaribu kutulia na ulielewe tatiz af ulitafutie solution mkuu"UBAYA UBWELA"
 
Back
Top Bottom