Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

Kataaaa Ndoa hamtaki mkipigwa virungu mnakuja kuomba msaada

Fanya mambo mengine
 
Ila mtoa mada una wake wengi mno na wote wanakutesa tu, kuna wa kukuzaba vibao, Kuna wa kukunyima papuchi, Kuna wa kutaka kuolewa na x wake, kuna wa kukufukuza kwenye ghorofa lako na kukunyang'anya magari, kuna wa kununua mahindi, nk
 
Jithibitishie kuwa ameolewa then u move on. Unawezaje kujithibitishia???? Nenda kwao huko sumbawanga kwa wazazi wake ukawasikie mwenyewe badala ya kauli kaka yake. Usipofanya hivyo yakimshinda huko alipo anaweza kurudi akakwambia "nilitekwa Zambia na hukuwahi kunitafuta una roho mbaya sana baba watoto wangu" in her voice.

Ukajiona we ndio mkosaji, ukamsamehe.
Jiridhishe ikibidi nenda hata mbeya unapoambiwa alipo lakini si kwa shari umuone tu inatosha.

But, uki move on ukimpata mwingine usimfungulie saloon, usimtume mahindi kwao hata kama ni iringa. Usimfungulie duka. 🤣🤣🤣🤣
Mleta mada shiki hiki hasa paragraph za mwanzo.
 
Wewe ni shot ya umeme 😂😂
Kumbe huyu jamaa kiazi hivi anatupanga humu.
 
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
"Umemuacha mama nyumbani, umeacha madogo,
Umemuacha mzee nyumbani umeacha urodaaa
Kunanuka shida nyumbani ooooh oooh,
Kwahiyo boss ZINGATIA MAOKOTO" sauti ilisikika kutoka bar Iliyokuw karibu
Anyway, mkuu hela zako inakuajeee sasa???
 
.

Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi gereji.

Mwezi wa 12 mwaka Jana alimaliza kujifunza masuala ya saluni akawa ameshajua Kila kitu, tukashauriana mwezi wa tatu mwaka huu aende Kwa dada yake sumbawanga Ili anunue mahindi Ili tuje tuyauze mwezi wa 11 mwaka huu Ili tufungue Biashara yetu ya saluni na duka, nilimpa milioni mbili na laki 6, na gunia Moja kule ilikuwa ni elfu 25 kipindi kile hivyo nikajua tutanunua gunia nyingi halafu tukija kuuza hata Kwa elfu 70 tutapata Hela nyingi.

Alivyo fika kule tuliwasiliana kama wiki Moja tu wiki ya pili akawa hapatikani, nikawa nampigia dada yake akawa ananiambia eti mke wangu kaenda kijiji Cha mbali kununua mahindi na kule mtandao haupo, hali iliendelea hivyo hivyo ikafikia hatua dada mtu akawa hapokei simu zangu na mwisho wa siku naye akawa hapatikani.

Hali ilivyo endelea hivyo ikabidi nimtafute kaka yake, kaka yake naye akamtafuta mama Yao akamueleza, kaka yake ndo akaja kunipa taarifa eti mke wangu aliolewa mbeya na nilimpa talaka na nilikuwa nampiga sana Kwa kumtuhumu yule mtoto siyo wangu, nilichoka sana dada yangu, Mimi yule mwanamke sijawahi hata kumgusa hata Kwa Kofi la bahati mbaya na yule mtoto nilikuwa na uhakika asilimia mia ni wangu,na kibaya zaidi aliwaambia mtoto yule siyo wakwangu eti kaona Bora mtoto akalelewe na baba yake,

Mpaka muda huu hakuna hata ndugu yangu anaye jua Hali hii ninayo pitia Kwa Sasa na naona hata aibu kumweleza mtu, bado nahisi ni ndoto mpaka muda huu japo imepita miezi mitano.
Shida ni wewe. Mwanamke hata akiwa na elfu 70 tu anakuwa tatizo
 
Kama ni wewe mwenyewe basi inabidi usonge mbele,kulialia hakusaidii chochote,hakuna ataye kuonea huruma zaidi ya wewe mwenyewe.
 
20240820_071846.jpg
 
Pole sana Ndugu yangu, all will be well, kila kitu kitakua poa kabisa, just give it time
 
Pole sana mwanangu
Usikonde usiogope
Mwenyezimungu amekuonesha mapema kuwa unaishi na CHUI kwenye ngozi ya kondoo

Tulia muda tutaongea atarudi na kilio JUU aliomba msamaha Nina uzoefu hata miaka 3 haitaisha
Hiyo pesa muache tu afanye kuwa ndio share yake
Bro utapata aliyekuandalia MWENYEZIMUNGU na utaenjoy safi kabisa maisha
 
Back
Top Bottom