Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri.​

Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa sm kucheki jina Matty, nikamuuliza nani huyo anakupigia sm mda huu akajibu achana nae, dah sikuridhika nikamwambia pokea sm akakataa, sm ikakata akapiga tena mimi nikaichukua ile sm ile nataka kupokea, akaniambia kuliko upokee hio sm ni bora tuachane asee daah nilihisi kama nimepigwa shoti sikuamini nlichokiskia, sema nikasema hapa ndo kwenyewe, nikaipokea ile sm, sauti ya kiume, Mazungumzo;Hallo, hallow..Mimi; Mambo vipi..Matty; Poa inakuajeMimi; Fresh mbona sm usiku usiku kwa mke wangu shida nini? Matty; Mke wakoo??? Mimi; daah moyo ukapasuka paah.. kwa hilo swali lake yani ni kama amekua suprised, nikamjibu ndio mke wangu .Matty; Pole sana mimi huyo mwanamke ameshaniambiaga hana mume aliolewa ila ameachana na mume wako mda mrefu sana wamebaki kama wazazi tuu ndio maana unaona napiga sm mpka mda huu nikiamini hana mtu sasa nimeshangaa kuskia ni mke wa mtu.Mimi; Daah kwa hio sasa hivi uko nae kwenye mahusiano yani unamahusiano nae? Matty; Hilo swali muulize yeye.Mimi; daah,, sawa kaka nashukururu usiku mwema.Matty ; Asante na kwako pia.Nikamrudia wife nikamuuliza kwa upole tuu mke wangu ni nini hiki kilichotokea ni nini kinachoendelea mbona sielewi?Akajibu si nilikwambiaga huyo ni rafiki yangu tuu manake kuna kipindi niliwahi kumuuliza baada ya kuona kama wanasliana sana na huyo jamaa, badae sikuona tena nakuja kuona ndo hilo tukio sasa. dah baada ya kujibu hivo nilimlamba bonge ya kibao akaondoka kwenda kulala, na akaenda kulala chumba cha wageni na kajifungia dah, Nilikaa pale sebuleni mpkaa saa kumi usiku sina uaingizi nawaza imekuaje mbona hakuwahi kunioneshea hizi tabia kwamwe? kwa nini amekua jeuri? Nilichukua ile namba ya jamaa nikampigia tena ndipo jamaa akanambia ukweli kuwa wako kwenye mahusiano, dah bro mpka asubuhi sijalala yan nimepigwa na butwaa sielewi nifanye nini hapa; Ninachowaza sasa ivi ni kuachana na huyu mwanamke siwezi kuendelea kuishi nae tena, nahisi nitakua niko sahihi..

cc😛rospernow/twitter
Kwa hii scenario inaonesha mkuu mkeo ndio kashikilia uchumi wa familia! Vijana wengi mmekuwa wajinga na wapumbavu kabisa yani mke wako anakwambia eti ukipokea hiyo simu tunaachana anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hayo maneno acheni upumbavu vijana afya ya akili yako ni muhimu kuliko kitu chochote kile! Ilitakiwa usiku huo huo umchukue na kumpeleka kwa huyo matty pumbavu kabisa
 
JF inakufa taratibu huku moderators wakiangalia bila kuchukukua hatua zozote za kuinusuru.
Motto ya JF where we dare to speak openly imekuwa haina maana tena.JF imekuwa kijiwe cha mada za kijinga na kitoto. Afadhali kidogo kwenye jukwaa la Siasa.
Majukwaa mengine ya mada mchanganyiko,mapenzi na michezo yamevamiwa na vitoto.
I miss JF ya zamani iliyokuwa na mijadala ya faida na malumbano ya hoja.
 
Ha ha Ila swali lako limenichekesha, unamuuliza kama yupo kwa mahusiano na mke wako. Angekuwa hayupo nae kwa mahusiano mke wako angepokea.

Wanasema mambo kama haya just listen tu na usishauri chochote. Toa maamuzi yako sahihi.

Ila really gentlemen hawa confront other men about their partners …… ni aibu and it is obvious mlikuwa mnashare K kila mtu na zamu yake.

Sheria yangu ni moja, mwanamke wangu akicheat, hakuna discussion hata kama tunawatoto 10 , ni one way ANAONDOKA right way. Unakaaje na mwanamke anaecheat?yaani sehemu unayopita wewe na mwingine anapita KATAA HUO ujinga na hizo nuksi, hakuna excuses ya aina yote

Kwanza kiusalama, mwanamke alishaanza kuvua chupi nje, hata nyumba yako haipo salama tena

Ni hatari

Tatizo kabla ya kumuoa alishavuliwa sana, do you think kumuoa/kumuweka ndani ni kigezo cha yeye kuacha kuendelea kuvuliwa mkuu?
 
Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri.​

Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa sm kucheki jina Matty, nikamuuliza nani huyo anakupigia sm mda huu akajibu achana nae, dah sikuridhika nikamwambia pokea sm akakataa, sm ikakata akapiga tena mimi nikaichukua ile sm ile nataka kupokea, akaniambia kuliko upokee hio sm ni bora tuachane asee daah nilihisi kama nimepigwa shoti sikuamini nlichokiskia, sema nikasema hapa ndo kwenyewe, nikaipokea ile sm, sauti ya kiume, Mazungumzo;Hallo, hallow..Mimi; Mambo vipi..Matty; Poa inakuajeMimi; Fresh mbona sm usiku usiku kwa mke wangu shida nini? Matty; Mke wakoo??? Mimi; daah moyo ukapasuka paah.. kwa hilo swali lake yani ni kama amekua suprised, nikamjibu ndio mke wangu .Matty; Pole sana mimi huyo mwanamke ameshaniambiaga hana mume aliolewa ila ameachana na mume wako mda mrefu sana wamebaki kama wazazi tuu ndio maana unaona napiga sm mpka mda huu nikiamini hana mtu sasa nimeshangaa kuskia ni mke wa mtu.Mimi; Daah kwa hio sasa hivi uko nae kwenye mahusiano yani unamahusiano nae? Matty; Hilo swali muulize yeye.Mimi; daah,, sawa kaka nashukururu usiku mwema.Matty ; Asante na kwako pia.Nikamrudia wife nikamuuliza kwa upole tuu mke wangu ni nini hiki kilichotokea ni nini kinachoendelea mbona sielewi?Akajibu si nilikwambiaga huyo ni rafiki yangu tuu manake kuna kipindi niliwahi kumuuliza baada ya kuona kama wanasliana sana na huyo jamaa, badae sikuona tena nakuja kuona ndo hilo tukio sasa. dah baada ya kujibu hivo nilimlamba bonge ya kibao akaondoka kwenda kulala, na akaenda kulala chumba cha wageni na kajifungia dah, Nilikaa pale sebuleni mpkaa saa kumi usiku sina uaingizi nawaza imekuaje mbona hakuwahi kunioneshea hizi tabia kwamwe? kwa nini amekua jeuri? Nilichukua ile namba ya jamaa nikampigia tena ndipo jamaa akanambia ukweli kuwa wako kwenye mahusiano, dah bro mpka asubuhi sijalala yan nimepigwa na butwaa sielewi nifanye nini hapa; Ninachowaza sasa ivi ni kuachana na huyu mwanamke siwezi kuendelea kuishi nae tena, nahisi nitakua niko sahihi..

cc😛rospernow/twitter
Kosa ambalo halisameheki ni kusaliti tu usirudie kosa kuendelea nae ukifanya makosa hayo utapigiwa mpaka basi ukiona mpaka umejua jua amefanya makusudi ujue kesha kuchoka hakuna shetan katika kucheat ni maamuz yake tu
 
Samahani natoka nje ya Mada
Mimi kinacho nifurahisha-ga jamii forum kila mtu anachumba cha Wageni na Muda wote kipo wazi akikorofishana tu na Mpenzi wake mmoja anahamia chumba cha Wageni.!
 
Oya samahani bhana, nimepata ghono toka kwa mpenzi wangu, hii manake nini aisee. Manake cjakutana na mtu mwingine nje.
Mi haya mapenzi ya interregional naanza kua siyaelewi sasa
 
Usimuache mrudishe kwao kwanza akapigwe na vumbi. Anakujibu ukipokea simu tuachane muache. Mpuuzi sana. Qmmke yake.
 
Back
Top Bottom