Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Wee unazo Smart tena akili mingi balaaaHizo akili ndiyo hatuna sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee unazo Smart tena akili mingi balaaaHizo akili ndiyo hatuna sasa...
Kenge nimeeka
Kosa ambalo halisameheki ni kusaliti tu usirudie kosa kuendelea nae ukifanya makosa hayo utapigiwa mpaka basi ukiona mpaka umejua jua amefanya makusudi ujue kesha kuchoka hakuna shetan katika kucheat ni maamuz yake tu
Samahani natoka nje ya Mada
Mimi kinacho nifurahisha-ga jamii forum kila mtu anachumba cha Wageni na Muda wote kipo wazi akikorofishana tu na Mpenzi wake mmoja anahamia chumba cha Wageni.!
Usimuache mrudishe kwao kwanza akapigwe na vumbi. Anakujibu ukipokea simu tuachane muache. Mpuuzi sana. Qmmke yake.
Jamaa sio man enough ; kwanza mwanamke hapigwi; torture her emotionally
Mimi the same day ningemwambia call him hapa nyumbani, na jamaa anakuja. The same time naita ndugu wa mwanamke na the same day jamaa anaondoka na huyo mwanamke wangu wakaishi pamoja walane vema
Timua the same day
💯 Majority of weak Men never Understand thisIla really gentlemen hawa confront other men about their partners …
Haitatimia hii Adhma yako. Huyo mwanaume sio mjinga yeye ajilete kwenye motoJamaa sio man enough ; kwanza mwanamke hapigwi; torture her emotionally
Mimi the same day ningemwambia call him hapa nyumbani, na jamaa anakuja. The same time naita ndugu wa mwanamke na the same day jamaa anaondoka na huyo mwanamke wangu wakaishi pamoja walane vema
Timua the same day
HahahaaaKama vipi wanandoa tuwekeane alama usoni kama wahindi. Ila wahindi wanawekea alama wake zao wenyewe hakuna.
Pole sanaAnatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri.
Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa sm kucheki jina Matty, nikamuuliza nani huyo anakupigia sm mda huu akajibu achana nae, dah sikuridhika nikamwambia pokea sm akakataa, sm ikakata akapiga tena mimi nikaichukua ile sm ile nataka kupokea, akaniambia kuliko upokee hio sm ni bora tuachane asee daah nilihisi kama nimepigwa shoti sikuamini nlichokiskia, sema nikasema hapa ndo kwenyewe, nikaipokea ile sm, sauti ya kiume, Mazungumzo;Hallo, hallow..Mimi; Mambo vipi..Matty; Poa inakuajeMimi; Fresh mbona sm usiku usiku kwa mke wangu shida nini? Matty; Mke wakoo??? Mimi; daah moyo ukapasuka paah.. kwa hilo swali lake yani ni kama amekua suprised, nikamjibu ndio mke wangu .Matty; Pole sana mimi huyo mwanamke ameshaniambiaga hana mume aliolewa ila ameachana na mume wako mda mrefu sana wamebaki kama wazazi tuu ndio maana unaona napiga sm mpka mda huu nikiamini hana mtu sasa nimeshangaa kuskia ni mke wa mtu.Mimi; Daah kwa hio sasa hivi uko nae kwenye mahusiano yani unamahusiano nae? Matty; Hilo swali muulize yeye.Mimi; daah,, sawa kaka nashukururu usiku mwema.Matty ; Asante na kwako pia.Nikamrudia wife nikamuuliza kwa upole tuu mke wangu ni nini hiki kilichotokea ni nini kinachoendelea mbona sielewi?Akajibu si nilikwambiaga huyo ni rafiki yangu tuu manake kuna kipindi niliwahi kumuuliza baada ya kuona kama wanasliana sana na huyo jamaa, badae sikuona tena nakuja kuona ndo hilo tukio sasa. dah baada ya kujibu hivo nilimlamba bonge ya kibao akaondoka kwenda kulala, na akaenda kulala chumba cha wageni na kajifungia dah, Nilikaa pale sebuleni mpkaa saa kumi usiku sina uaingizi nawaza imekuaje mbona hakuwahi kunioneshea hizi tabia kwamwe? kwa nini amekua jeuri? Nilichukua ile namba ya jamaa nikampigia tena ndipo jamaa akanambia ukweli kuwa wako kwenye mahusiano, dah bro mpka asubuhi sijalala yan nimepigwa na butwaa sielewi nifanye nini hapa; Ninachowaza sasa ivi ni kuachana na huyu mwanamke siwezi kuendelea kuishi nae tena, nahisi nitakua niko sahihi..
cc😛rospernow/twitter