Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

Kwa hii scenario inaonesha mkuu mkeo ndio kashikilia uchumi wa familia! Vijana wengi mmekuwa wajinga na wapumbavu kabisa yani mke wako anakwambia eti ukipokea hiyo simu tunaachana anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hayo maneno acheni upumbavu vijana afya ya akili yako ni muhimu kuliko kitu chochote kile! Ilitakiwa usiku huo huo umchukue na kumpeleka kwa huyo matty pumbavu kabisa
 
Pole sana ndugu ninajua maumivu unayopitia. Mungu akusaidie sana.
 
JF inakufa taratibu huku moderators wakiangalia bila kuchukukua hatua zozote za kuinusuru.
Motto ya JF where we dare to speak openly imekuwa haina maana tena.JF imekuwa kijiwe cha mada za kijinga na kitoto. Afadhali kidogo kwenye jukwaa la Siasa.
Majukwaa mengine ya mada mchanganyiko,mapenzi na michezo yamevamiwa na vitoto.
I miss JF ya zamani iliyokuwa na mijadala ya faida na malumbano ya hoja.
 
Tatizo kabla ya kumuoa alishavuliwa sana, do you think kumuoa/kumuweka ndani ni kigezo cha yeye kuacha kuendelea kuvuliwa mkuu?
 
Kosa ambalo halisameheki ni kusaliti tu usirudie kosa kuendelea nae ukifanya makosa hayo utapigiwa mpaka basi ukiona mpaka umejua jua amefanya makusudi ujue kesha kuchoka hakuna shetan katika kucheat ni maamuz yake tu
 
Samahani natoka nje ya Mada
Mimi kinacho nifurahisha-ga jamii forum kila mtu anachumba cha Wageni na Muda wote kipo wazi akikorofishana tu na Mpenzi wake mmoja anahamia chumba cha Wageni.!
 
Oya samahani bhana, nimepata ghono toka kwa mpenzi wangu, hii manake nini aisee. Manake cjakutana na mtu mwingine nje.
Mi haya mapenzi ya interregional naanza kua siyaelewi sasa
 
Usimuache mrudishe kwao kwanza akapigwe na vumbi. Anakujibu ukipokea simu tuachane muache. Mpuuzi sana. Qmmke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…