Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

Kosa ambalo halisameheki ni kusaliti tu usirudie kosa kuendelea nae ukifanya makosa hayo utapigiwa mpaka basi ukiona mpaka umejua jua amefanya makusudi ujue kesha kuchoka hakuna shetan katika kucheat ni maamuz yake tu

Alivuliwa chupi wakati hayupo na mimi. Once anapokuwa na mimi , aliyoyafanya kipindi cha nyuma hayanihusu

Ishu ni avue chupi pale alipoanza kuwa na mimi
Hakuna msamaha wa mwanamke wa hivi.
Ambao ni self indulgence wanaua kabisa wakawake wa hivo….

Yaani hata kutoa nafasi ya kumsikiliza ni kupoteza muda

Mimi huwa sina muda wa kuchunguza a woman unless she gives reasons to do so .

Tambua nyumba na familia ni mwanamke, sio mwanamme kama inavodhaniwa. So mwanamke akishaanza kutoa nyama nje you are no longer safe Comrade.

Kuanzia watoto zako na usalama wa nyumbani kwako na usalama wako pia.
Ni sawa upo uchi na unachuma mchicha mbele ya wanaume wenzio

Be smart, kuna vitu unatakiwa straightforward kuachana Navo.

Biblia inasema mwanamke mpumbavu anaharibu ndoa/ nyumba yake
, why not mwanaume mpumbavu?

Mwanamke ndio nguzo na usalama wa nyumba , a man is just a provider wa matumizi

, sina muda wa kumchunguza a woman ila akifikia hatua ya kunipa doubts by any means ………. That is straight away
 
Samahani natoka nje ya Mada
Mimi kinacho nifurahisha-ga jamii forum kila mtu anachumba cha Wageni na Muda wote kipo wazi akikorofishana tu na Mpenzi wake mmoja anahamia chumba cha Wageni.!

Kawaida we muha acha ushamba wa mwijaku
 
Usimuache mrudishe kwao kwanza akapigwe na vumbi. Anakujibu ukipokea simu tuachane muache. Mpuuzi sana. Qmmke yake.

Jamaa sio man enough ; kwanza mwanamke hapigwi; torture her emotionally

Mimi the same day ningemwambia call him hapa nyumbani, na jamaa anakuja. The same time naita ndugu wa mwanamke na the same day jamaa anaondoka na huyo mwanamke wangu wakaishi pamoja walane vema

Timua the same day
 

kibabe sana
 
Haitatimia hii Adhma yako. Huyo mwanaume sio mjinga yeye ajilete kwenye moto
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…