Mke wangu kaniambia nimwandikie kurasa ishirini za sababu kwanini mpaka sasa nimeshindwa kununua gari

πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu hii ni Njia ya HEKIMA kweli. Mimi nataka mambo yakae Sawa sio kuchochea huu mgogoro
Mwanamke akianza kupata ujasiri wa kuropoka, jua kumeanza kupambazuka
Suruhu ya kweli siioni hadi wanaomlisha maneno wapotee kweny uso wa dunia

Mwanamke hulishwa maneno hasa yule asie na asili ya kuropoka
 
Yeye amewezaje kununua wewe hujanunua bado?
 
punguza mda wa kulala ongeza mda wa kupambana...
 
NAKAZIA
 
mkeo huyu huyu shemeji yangu nayemfahmu Mimi ... au mchepuko unaita mke
 
🀣
 
Ni mstari mmoja tu mkuu ,haihitaji 20 pages.

->Kwasasa sina kitu ,nasikilizia mchongo utikiki ninunue Maybach kama ya Godluv au Range kama ya Lugumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…