Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,155 Reaction score 34,303 Apr 27, 2021 #161 John henry said: Kwahyo hujaona ukorofi wa huyo dada mpaka sasa! Click to expand... Hamna kitu. Kuna mengine umemaind
John henry said: Kwahyo hujaona ukorofi wa huyo dada mpaka sasa! Click to expand... Hamna kitu. Kuna mengine umemaind
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,139 Reaction score 2,488 Apr 27, 2021 #162 Changamoto ndogo sana hizo kk. Mtumie nauli, myamalize
D Dorrlyn JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 1,101 Reaction score 1,515 Apr 28, 2021 #163 entry said: Umeandika ujinga wewe bora ungenyamaza tu Click to expand... Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde
entry said: Umeandika ujinga wewe bora ungenyamaza tu Click to expand... Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde
D Dorrlyn JF-Expert Member Joined Jan 10, 2017 Posts 1,101 Reaction score 1,515 Apr 28, 2021 #164 Analyse said: Mkuu ulichoongea hakina uzito kabisa, sidhan kama ulipata muda wa kukitafakari kabla hujapost. Click to expand... Kama una bibi kaa nae akufunde kuhusu behavior za wanawake
Analyse said: Mkuu ulichoongea hakina uzito kabisa, sidhan kama ulipata muda wa kukitafakari kabla hujapost. Click to expand... Kama una bibi kaa nae akufunde kuhusu behavior za wanawake
M Madam secretary Member Joined Mar 6, 2015 Posts 70 Reaction score 221 Apr 28, 2021 #165 Una miaka mingap kwanza? Maana sioni Cha ajabu au kuna muendelezo? Usimtumie io nauli wenzio watamtumia na ya kutolea. Mambo ya kitoto sana
Una miaka mingap kwanza? Maana sioni Cha ajabu au kuna muendelezo? Usimtumie io nauli wenzio watamtumia na ya kutolea. Mambo ya kitoto sana
entry JF-Expert Member Joined Apr 11, 2018 Posts 286 Reaction score 539 Apr 28, 2021 #166 Dorrlyn said: Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde Click to expand... Hizi sababu za mimi nafanya hivi kwa sababu ni mwanamke sizielewagi hata kidogo katika akili yangu, maana ni kichaka cha kutetea upuuzi
Dorrlyn said: Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde Click to expand... Hizi sababu za mimi nafanya hivi kwa sababu ni mwanamke sizielewagi hata kidogo katika akili yangu, maana ni kichaka cha kutetea upuuzi