Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

Una miaka mingap kwanza? Maana sioni Cha ajabu au kuna muendelezo?
Usimtumie io nauli wenzio watamtumia na ya kutolea.
Mambo ya kitoto sana
 
Kama wewe ni mwanamke it is ok ila kama ni mwanaume nenda kwa mama ako akufunde
Hizi sababu za mimi nafanya hivi kwa sababu ni mwanamke sizielewagi hata kidogo katika akili yangu, maana ni kichaka cha kutetea upuuzi
 
Back
Top Bottom