Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

Mke wangu kanificha mengi, naomba ushauri

Mimi nalamikia kitendo chake cha kunificha sio mama alikua wa wote mimi nayeye mtoa huduma kwa miazi mitatu nilikua mimi ningekua na raho mbaya nisinge muhudumia ba kuenda kwenye stedi ya mkoani saa sita ucku kumpokea, huyu mama aliku rafiki yangu sana hata kuliko mwanae
 
Kwa wiki kama tatu hivi raia wameleta visa mingi mno... Hii inaashiria jamii yetu imejaa majanga sana, unaeza kuona mtu ana maisha mazuri kumbe anapambana na visa visivyokua na solution
Itoshe kusema changamoto ni hali ya maisha unaeza kuona unapitia magumu kumbe kuna wenzako wanapitia msoto mkubwa kuliko ww
..... All in All karibuni k'vant wakuu na wakulungwa
 
Hilo nimegusia pia ita kuchukuwa mda kidogo kusahau mkuu ila faida ulio nayo wewe sio mtu wa kwenda kazini na kurudi kila siku huwa una safiri, so katika mihangaiko yako ya kazi uta pata nafasi ya kuwa nae mbali kwa mda huku unaendelea na shughuli zako kama kawaida bila ya wewe kuvuruga au kuachana na familia yako, baada ya miezi kadhaa moyo wako utarudi na maisha yata kuwa sawa mkuu, so wewe tuma nauli akirudi wewe safiri kikazi nenda kaa huko jiliwaze, kama unatabia ya kupiga simu piga kama kawaida siku ukitaka rudi home wewe rudi. baada ya mda mambo yatakuwa sawa mkuu niamini kwa hilo wazungu wanasema "Time Heals" so muda utasema tu jikaze japo inataka moyo kuishi na mtu mwongo.
Sawa time heals ila nguvu za kuenda stedi ucku wamanane kuenda kupokea mtu muongo kama huyu cijapata, pia kulala nae kitandani sijui kama I have the guts,......naona mgogoro wa ndani kwandani unaanzia hapo
 
Pole, , tuanze kwa kuchanganua tatizo na lengo la mkeo.

Tatizo ni kakuficha mama yake alikuwa anaugua Gonjwa ambalo yeye alihisi litakuwa la aibu kwake kama akikupa ukweli.

Ila aliishia kusema tu kuwa anaumwa.(sio ishu sana)

Ushauri.
Puuzia mambo mengine usifanye maisha yawe magumu hivyo, mtumie nauli arudi kisha akisharudi kaa uongee nae kwa upendo na umuelekeze!! Enjoy you're life bro, take it easy.

NB: Huenda aliambiwa na hao ndugu zake kuwa ahakikishe hufaham ugonjwa anao umwa mama yao, so usikimbilie kumhukumu bure, kuwa na hekma, ndio maana Mungu aliona wewe ndo unafaa kuwa kiongozi wa familia yako kama mwanaume.
 
Ahsante mkuu, lakini namimi natamani hili jambo liishe haraka iwezekanavyo, ila kulala nae kitanda kimoja naona kama imekua ngumu kwangu, yule mama muongo sana kupitiliza, kaniona mimi boya sana mtaa mzima ulijua kwamba huyu mama anaumwa isipokua mimi tu........
 
Ahsante mkuu, lakini namimi natamani ili jambo liishe haraka iwezekanavyo, ila kulala nae kitanda kimoja naona kama imekua ngumu kwangu, yule mama muongo sana kupitiliza, kaniona mimi boya sana mtaa mzima ulijua kwamba huyu mama anaumwa isipokua mimi tu........
Hahah daah pole sana mkuu,sasa usipo lala nae kitanda kimoja itakuwaje mkuu, au huoni watasema ulikuwa unatafuta sababu, au umeogopa kuskia mama yake alikuwa anaugua gonjwa hilo?

Ama pengine kashawahi kudanganya mambo mengine mengi tofaut na hili

Maana me pia wangu muongo muongo sio kidogo, na hivi sasa tupo kwenye mgogoro mzito, japo sjamwoa bado.
 
Sina apatite yake kitandani tu..... uongo wake sana ni kuhusu kwao na vizinga vya pesa visio uelewaka......mfano mgine habari nilio pata pale jilani kwenye wachimba kaburi kumbe baba yake mzazi walikua ametengana na mama ake kama miaka mitatu nyuma, na baba aka oa mke mgine mie sina habari yoyote, watu wananiuliza mama mkwe mgine unamjua hata na shinda kuwajibu aibu kweli kweli
 
Most of them wanakuwa na aibu kwa sababu ya unyanyapaa, kuna ndugu yangu kaoa ukoo ambao mama ni HIV+ na baba alishafariki kitambo, ila nao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 3 na miaka 13 ya mahusiano hajawai kuambiwa tatizo la mama ila jamaa anajua kila kitu hadi mdogo wao wa mwisho ambao ni mtu mzima ana zaidi ya miaka 23 alizaliwa na ugonjwa huo. Na hiyo yote ilisababishwa na bata za mshua maana alikuwa ni mtu wa kusafiri na bata sana.
 
Mtumie nauli arudi..mengine mtakuja yamaliza akifika home..huenda alikuwa na sababu zake huwezi jua.
 
Inawezekana wife aliona hilo ni Jambo la aibu Sana na pengine hakutaka hiyo siri yake ifikie familia yako pia inawezekana mashemeji zako wanakuogopa Sana maana ilitakiwa muwe mnawasiliana lakini wao hawafanyi hivyo

Mtumie nauli mje mjadili hilo
Ikiwezekana ita na mashemeji uwaweke kikao na uwape onyo
 
Shemeji wangu wananikuepa kweli kweli naona kama their guilty conscious
 
Kuna vitu viwili

1.Mkeo anakwepa aibu ya mambo yakiyopo kwenye familia yao

2.kwenye kukwepa aibu ameona bora akuvunjie heshima wewe bora akudharau kidogo wewe ili tu heshima ya familia yake idumu..

Ningekuwa wewe ningekaa na mke,nikamwambia kila kitu kuhusu mama ake kuanzia ugonjwa na jinsi alivyofariki hlf ningekaa kimya kumsikiliza lolote atakaloongea baada ya pale ndo itasema yote aliyofanya ni dharau au lengo ilikuwa kulinda heshima ya kwao..

Km itakuwa ni kulinda heshima ya kwao naweza kumsamehe ila kama amefanya malengo ni jinsi gani anaweza kunidharau na siwezi kufanya kitu nadhani unahitaji kujitathimini vzr km mwanaume...

Huyo amevuka mipaka mingi laZima a prove lengo ni kuwepa aibu na sio vinginevyo
 
Mkuu ni ushauri mzuri ila mke wangu ni aina ya wanawake wakukataa kata kata, paka mwisho neno sorry ni zito kwake kulitamka, kumhoji anaweza kubadili mada yakazaa mengine.
 
Ndugu zanguni habari zenu, nimekuja kwa ushauri wenu pamoja nakuweza kupanua mawozo yangu nakupunguza stress za kifamilia.

Mimi nina mke na tumejaliwa watoto wawili (2) wakike na wakiume, Mwaka jana mnamo mwezi wa saba (7) mke wangu alinipa taarifa kwamba Mama wake mzazi (mama mkwe) anakuja mjini nijiadae kwenda kumpokea hiyo siku ikifika na ni sisafiri paka nimpokee, kwasababu shughuri zangu nasafiri za nje ya mkoa, nikamuliza amekuja kufanya nini? Eti kufuatilia mafao yake ya pensheni, mmh wakati alisha pokea tangu mwezi wa pili, niliguna tu nikamjibu sawa ntampokea, baada ya kama siku tatu aliniambia amepanda basi, siku hiyo nikaendesha ki 'babyseater' (gari) changu nikaenda standi ya ma basi ya mikoa kumpokea, alingia kama saa sita usiku nikampokea nikaweka mizigo yake ndani ya gari tukaelekea nyumbani vizuri bila kunotisi kitu chocolate.

Baada kama ya siku mbili mie nikasafiri kuenda kwenye kazi zangu, nilirudi baada ya siku tatu (3) nikamukuta bado yupo si ku mind walaa, sisi kiutamaduni na kimila mama mkwe ni mwiko kwangu kuingia chumbani mwake au kumshika mkononi au kutumia choo kimoja kwahiyo nilikuwa namsalimia nikiwa sembuleni kila asubuhi na jioni hiyo wiki nilio kaa sikumtizama sanaa isipokuwa ucku wakati namleta aliendelea kukaa nyumbani kwa takrbani miezi mitatu, mie naenda safari zangu na rudi kila wiki kwa kufichwa na mke wangu.

Inaendelea itakua na sehemu mbili ili nisiwachoshe
Babyseater or baby walker mkuu..... Unajua lakini maana ya haya majina?!

Babyseater ni mtu anaekaa na mtoto kukuangalizia ukiwa haupo.

Baby walker ni vile vigari vya kusukumia watoto vile vinakuwa na matairi manne halafu mtoto anakalishwa kwa ndani analala huku ananyonya chuchu ya maziwa halafu mtu mzima anakisukuma kumuendesha......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sielewi unachotaka tukushauri ni kipi? Kama mke wako kakudanganya kuhusu Mambo ya huko kwao, nakushauri akirudi umuonye na Kisha muulize kwanini alikuficha kuhusu Hali ya mama yake hadimsiba, na kingine Mambo ya familia hata wewe ya baba na mama yako mengine huwezi kumwambia mkeo
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri maridhawa.....ila changamoto iliopo ni roho yangu kukubaliana na ukweli kwamba nimsamahe, napokumbuka jinsi alivo kua ananiomba pesa ya nyumbani matumizi yaliongezeka maradufu, wakati inaenda kwa matibabu ya kificho kwa mama inauma sanaaa duh.....
Katika Jambo ambalo alivumiliki ni uongo kwenye mahusiano huyu itakuwa ndugu zake walmpa ujanja huo
 
Uyo hafai kabisa itakuwa Mambo meng kakuficha ikizingatia mmezaa watoto
Hilo nikweli kabisa ni msiri sana na hofia huku mbeleni itakuaje?, nikiacha hili lipitehivi hivi, sasa hivi ananihitaji kwasababu ya msada wangu kwake, je kesho nikiwa sina uwezo huo wakumsaidia kweli atanivumilia?
 
Sasa kusema ugonjwa wa mama yke hataki wakat mmeshakuwa pamoja Bora angekuwa bado mpo kwenye uchumba bado mjazoeana tungesema anaogopa huta muacha huyo hakupendi au yeye ameone alikwambia huta mpa ushirikiano kulingana na tabia zako ambazo yeye ana zijua maana mpaka mmezaa ina maana anakujua jins ulivyo
 
Back
Top Bottom