Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

Kwanza nikukosoe kidogo Mnyonge ni wewe na familia yako.
 
Kuna kila sababu za kufundisha mila ngumu za kiafrika kwa vijana wateke wateke kama wewe, hivi kwanza inawezekanaje yaani mwanamke anashika simu yako? haya tuache hilo, inawezekanaje yaani mwanamke anakuzaba kibao?hivi mnaishije na hawa wanawake qhumamae zenu? mwanamke anatakiwa akiona simu yako inaita anakimbia nje akupishe upokee, sasa kafika hatua ya kukunasa vibao, kuna siku atakuchokonoa na bikari takoni, maneiner
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Kinachotakiwa hapa ni kumfuata chumbani uone ana hali gani ,tutakushauri baada ya wewe kuonana na kusikia umechukua jukumu gani kisolve issue
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Mle 0679
 
Una utoto kwa sababu mbili
1. Una mazoea mabaya na mkeo hadi anakulamba kofi tena msimu wa masika !!! na baridi hizi
2. Umeoa halafu bado unabebishana na vidada huko nje, huu ni ufala
3. Baridi zote hizi unakaa na mkeo mnaangalia Tv, tena itakua mnacheki tamthilia ya mama Kimbo[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Acha kuchepuka mkuu
 
Ningalikuwa Mimi ningalimshika ningalimsogeza Kisha ningalimpa vifuti vinaitwa dunia hadaa walimwengu shujaa! Hivi huwa vinapigwa kwenye shingo! Kisha ningalimpapasa kwa pigo maarufu liniitwalo mtama lkn mtama huu unakuwa ni mtama uliochangamka yani anapaa kimo Cha mbuzi na kabla hajatua chini akiwa juu juu anakula ngumi mbili za chemba ya moyo Kama sehemu ya kumsindikiza ktk safari yake!

Akitua chini ntahakikisha hapumziki hapohapo naweka pigo moja linaitwa "zunguka huko nami nizunguke huku tumfinye mshenzi" hili ni pigo la pua Yani unampiga kichwa Cha pua na ili liwe tamu zaidi pigo hili linafaa umpige huku umefumba macho! Kisha angali yupo ktk kilio punde si punde unampapasa mbavu zake kwa pigo linaitwa Israel yu malangoni pako! Hilo unapiga kwa kutumia magoti huku ukibana pumzi ili kuhakikisha pigo linapata patamu na kwa spidi ya haramu! Hapa lazima atahema kwa kukosa hewa hivyo akipiga zogo unasimika ngumi ya mdomo ili kuubadilisha usiitwe tena mdomo bali mudomomo!

Narudi..
yaani mwanaume mzima unakunja ngumi kumpiga mwanamke!
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Nenda police kachukue PF3
 
Nenda dawati la jinsi na watoto,
 
Back
Top Bottom