Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Ndiyo maana ndoa za vijana siku hizi hazidumu. Yaani hamjui wapi muyapeleke matatizo yenu.

Kama uko home mwambie akupige kingine,au ukirudi mwambie akupige kingine.
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Kanye chooni
 
Huwa nawaambia sittng room n kwa ajili ya wagen, mke na watoto tu,ss ww unakaa na mke wako mnawatch wkt unajua we n wa wanawake wengi,hapo amekukumbusha tu kuwa next tme inatakiwa ukakae kijiaeni na wanaume wenzako
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?

Asa ushasema kaingia chumbani mwenyew bado Huelew ufanyaje axa umeoaa ili iwejee......
 
Ndio yule uliyemkuta chumbani akicheza muziki uchi?😂😂😂😂Na utaendelea kupigwa tu...
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Alitakiwa kuvunja na hiyo simu halafu akuongeze na kofi la pili.... Maana hauna akili.....
 
Una utoto kwa sababu mbili
1. Una mazoea mabaya na mkeo hadi anakulamba kofi tena msimu wa masika !!! na baridi hizi
2. Umeoa halafu bado unabebishana na vidada huko nje, huu ni ufala
3. Baridi zote hizi unakaa na mkeo mnaangalia Tv, tena itakua mnacheki tamthilia ya mama Kimbo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu u- 'senior member' JF unapatikanaje?..tunashushiana heshima bana
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Yuko sawa na hutakiwi kukijibu hicho kibao. Mlaumu huyo mtani wako au hawara yako.

Odhis *
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Wewe ungekuta msg kwenye simu yake ya kijana waliozoea kutaniana anamwita wife, ungemuuliza akakueleza hivyo ungeelewa? Kwanini unataka akuelewe kwa jambo ambalo wewe huwezi kulielewa.
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,

Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Ujinga kabisa

Utan wakuitana Husb na Wife..na unajua Unamke???

Ngoja tuendelee Kuwatombea wake zenu
 
Acha ujinga na wewe... Uitwe husband alafu useme ni utani aisee!!!! Unastaili kibao kingine

Back
Top Bottom