Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

Mke wangu kaninasa kibao, nifanyeje?

una utoto kwa sababu mbili
1.una mazoea mabaya na mkeo hadi anakulamba kofi tena msimu wa masika !!! na baridi hizi
2.umeoa alafu bado unabebishana na vidada huko nje, huu ni ufala
3.baridi zote hizi unakaa na mkeo mnaangalia Tv, tena itakua mnacheki tamthilia ya mama kimbo[emoji23]
[emoji3][emoji3]
 
We kenge sa ujinga wanan boya wew
Et tunaitanaga wife na husband
Tena akuongeze lingne kimav wewe
 
Harafu mnasema wanawake wanachepuka sana mnashindwa kuanglia na waowaji walivo
 
Wanawake mko na huruma sana. Mngekua serious, watu aina ya mleta mada wangekufa bila kujua papuchi inafanana vipi. Ni vile tu mko na huruma kupitiliza!
 
Ningalikuwa Mimi ningalimshika ningalimsogeza Kisha ningalimpa vifuti vinaitwa dunia hadaa walimwengu shujaa! Hivi huwa vinapigwa kwenye shingo! Kisha ningalimpapasa kwa pigo maarufu liniitwalo mtama lkn mtama huu unakuwa ni mtama uliochangamka yani anapaa kimo Cha mbuzi na kabla hajatua chini akiwa juu juu anakula ngumi mbili za chemba ya moyo Kama sehemu ya kumsindikiza ktk safari yake!

Akitua chini ntahakikisha hapumziki hapohapo naweka pigo moja linaitwa "zunguka huko nami nizunguke huku tumfinye mshenzi" hili ni pigo la pua Yani unampiga kichwa Cha pua na ili liwe tamu zaidi pigo hili linafaa umpige huku umefumba macho! Kisha angali yupo ktk kilio punde si punde unampapasa mbavu zake kwa pigo linaitwa Israel yu malangoni pako! Hilo unapiga kwa kutumia magoti huku ukibana pumzi ili kuhakikisha pigo linapata patamu na kwa spidi ya haramu! Hapa lazima atakema kwa kukosa hewa hivyo akipiga zogo unasimika ngumi ya mdomo ili kuubadilisha usiitwe tena mdomo bali mudomomo!

Narudi..
Mapigo yote haya kama fumanizi vile daaah
 
utoto

UMEOA kweli wewe KENZY, je ungekuta sms ya dume linamsifia kwa mchezo wa jana si ndio ungepasua jeneza lake ili tu umuue vizuri
 
Aisee unastahili kabisa, iv wewe unajua kabisa Kuna mtu mnataniana anakuitwla kabisa husband na mke wako hajui , afuu kirahis tu unamwachia simu nanhapo alikuonea huruma angechukua tu mchi akutwange
Isitoshe umevunja sheria ya mabaharia ile ya nane kifungu kidogo cha tatu kwamba "usimuruhusu mkeo ashike simu yako iwe unachepuka au laaa"
Umetuangusha aisee
 
Habari za leo wananchi wenzangu wanyonge. Poleni na msiba wa kiongozi wetu sisi wanyonge.

Ndugu zangu,naombeni ushauri wenu wa mawazo. Leo nilikuwa nimekaa na wife tunacheck tv, ikaingia message kwenye simu yangu, wife akaichukua haraka haraka na kuisoma. Nikashangaa ameniangalia usoni kisha akanilabua kibao kwenye shavu, akanirushia simu yangu kisha akaingia chumbani.

Mimi nikaisoma ile message ilikuwa imetoka kwa mdada mmoja tumezoeana kutaniana, yeye huwa anapenda kunitania kwa kuniita husband nami namuita wife, so nimeshangaa wife wangu hajaniuliza kitu badala yake kanipa kelebu.

Je, nifanyaje wakuu?
Umemzingua kakuzingua😀
 
Vua nguo Lala uchi.
Ukifanya hvyo kwa muda wa siku 3 atakusamehe.

Usisahau kuleta mrejesho
 
Angekubomoa na hayo meno,mbuzi wewe

Subiri na yeye akatafute mtu wa kumtania kumuita "my beautiful wife"
 
Back
Top Bottom