Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Wakati mwingine wanawake tuliowaoa mnaboa saaana, kabla ya Ndoa mnatoa penzi motomoto haswaa!!! Mpaka kidume unajiona ni mfalme wa Dunia kuliko hata the Notorious Trump, sasa kasheshe baada ya Ndoa!!! Penzi lote linakwisha!!! Tena ndo kama ameshapata mtoto mmoja au zaidi ndo basi kabisa!!![emoji16][emoji16], kukwambia amechoka au hajisikii ni jambo la kawaida tu. Wanaboa sana
 
Uliporudi kwanini hukuomba ulichoomba baadae kabisa kama ulim miss kweli?

Jifikirie, kama kuna mengine basi muulize tena.
 

Exactly mkuu hadi unajiuliza hivi nilikuwa na nini na sasa sina nini hata nilipwe yote haya?? I nashindwa jibu niko kwenye wakati huo mkuu
 
Uliporudi kwanini hukuomba ulichoomba baadae kabisa kama ulim miss kweli?

Jifikirie, kama kuna mengine basi muulize tena.
Nakusihi tafadhali Pitia post zote katika uzi huu nimejaribukueleza utaelewa vizuri
 
Pole Sana mwanamke kiumbe msiri ...jitahid kumfanyia Yale ya furaha u know her mtoe out...mletee vizawad..ukiwa job mtumie sms za kichokozi za sex......haya yote fanya bila kutegemea love in return.

Kaa nae kwa upendo atakueleza shida Ni nini
 
Asante mkuu labda kujibu maswali yako ni kuwa nilipofika home yeye alikuwa anachek TV nikapitiliza ndani hata mtoto hakuja kunipokea akaja chumbani tukasalimiana kisha nikaenda kuoga na as I know her hakukuwa na tatizo hadi naenda Church
hapo ndiyo umeshathibitisha tayari kuna gap
Jaribu kumpa Muda wa kutosha atakwambia shida iko wapi
Hata usiku muweke kifuani alale halafu muulize why did she act like that?
..People don't care how much you know until they know how much you care......
Mwanamke anataka Care sana.
she don't need money, car or house!
Just respect, love and care.
try to listen her, trust her and understand her,
Then thank me later.
 
Mtafutie kabinti kamoja kazuri kenye kujua majamboz, na fanya ili ajue unakagegeda na siku nyingine lala uko akikuuliza asubuhi mwonye picha za kabinti hako mkiwa kwenye romance. utasikia kilio atakachotoa
 
Mtafutie kabinti kamoja kazuri kenye kujua majamboz, na fanya ili ajue unakagegeda na siku nyingine lala uko akikuuliza asubuhi mwonye picha za kabinti hako mkiwa kwenye romance. utasikia kilio atakachotoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli we mwananchi
 
mgesa said:
Ukute umemuudhi. Usikurupuke mkuu, kaa nae umsikilize

Huenda nimemuudhi sawa lakini kwanini asiseme hata baada ya kumbembeleza kote kule? Hivi huwa mnataka nini hasa mkinuna?
 
Muda tuu lakini niliacha Kabisa na kujicomit kwenye Familia sasa naona mambo yanavurugika
shetani akikuvaa vzr ukaamua ni pm ni wa kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tulia hivyohivyo hata mwezi na zaidi usiombe game.

Dawa yao tunayo sisi malofa wa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…