Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah sasa mkuu ushauri au unamsema??
 
Hajamwita mbwa ila ka save jina mbwa kwenye simu shida iko wapi ?mnapenda ugomvi usio na sababu
 
Umeshindwa kumuuliza kwasababu hujui uanzie wapi lakini humu jf umepata pa kuanzia kutuelezea.
 


Na wewe m-save MBWA

MAANA MBWA kaoa MBWA
 
Mkuu mkeo unamlisha, unamvisha, unamhudumia huduma zote ili aridhike na apate tulizo la Moyo siku zote akikuita jina Baya lenye kashfa na lisilo na heshima jua ya kwamba kunamtu anampa jeuri yakukuita ww jina baya maana mema yako yote yamefutwa kwenye akili zake na anaempa jeuri anayetoa huduma Sawa nazako.

Tumeishi na wake za watu na tumesoma nawake za watu pia nishawahi date na mke wa MTU pasinakujua nikikaa nae mara nyingi kuna simu huwa inapigwa namsikia anasema huyo Lofa sijui linataka nini, mara bwege huyo linanipigia, Kubwajinga linapiga, wakati mwengine tuko mchezoni na mgegeda anapigiwa Hilo linapiga Mseng- huyu.

Nilipochunguza Kwa marafiki zake nanikachukua Ile number nilipojua jina la usajili baada ya kuchunguza nikaja kujua mke wamtu na mumewe jina nililolipata ndo lile lipo kwenye usajili wa number nikamkimbia Mazima aisee ndugu pole Sana unaibiwaaaaa....
 
Dharau kubwa sana me ata safari ya kwao nisingeenda tena angeenda mwenyewe.chunguza tabia za mmbwa zikoje then angalia na zako huenda zinafanana alafu chukua hatua utanishukuru baadaye
 
Mbona kama tunanywesha chai ya kuunguza sukari hapa...

Simu ya mkeo hujui ilipo, then anatumia simu yako kuipigia simu yake na wewe waenda itafuta mahali itapoita...

Hapa najiuliza, kama mkeo anajua jina lako alilosave ni MBWA, iweje alikuachia wewe ndio ukaifuatilie simu mahali itapoitia?

Je, alitaka uone vile amekusave? Kama hii sio chai basi jibu ni NDIO...

Nini cha kufanya, if you think you're clean basi muulize kwa nini amekusave jina hilo?
 
Mbwekee yaishe
 
Inawezekana mleta mada ni dogi kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…